tunda man anaimba au analia?

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
ukitoa track yake ya neila, nyingine zote ni hovyo...nyimbo kama starehe gharama anaendeleza kulialia, jamaa simuelewi!
 
we jamaa kwel umekurupuka.hujui kwenye muziki kuna kitu kinaitwa stail.sasa hiyo ndo stail yake ya kuimba au unataka amuige sent 50 ndo utamkubal.wabongo kwa madharau lo!
 
Mhm hata kama ni stail wasanii huwa wanabadilika ili kuwapa watu ladha tofauti miaka sasa stail ileile? Amefulia tu na yy na asipojitahidi ataisha muda c mrefu
 
Mhm hata kama ni stail wasanii huwa wanabadilika ili kuwapa watu ladha tofauti miaka sasa stail ileile? Amefulia tu na yy na asipojitahidi ataisha muda c mrefu

umeona eeh yaani jamaa habadiriki.
 
Hu hu hu hu jamaa analia mpaka kwikwi. SIPENDI style za kulialia as f wewe unaonewa kila cku ..Aaagrh!
 
ata ferooz alikua analia.ila tunda leo nasikia yuko ulaya kupiga shoo sina shaka ni zile za sebuleni.

Ferouze siku hizi anaimba mchiriku. Kwa tunda man aisee analia haimbi hata kama ni hisia kazidisha
 
Kulia ndiyo swagger lake ambalo linampa distinction fulani.
 
Tatizo la wabongo ukimkosoa tu utaambiwa unachuki binafsi,wakati unamsaidia yeye mwenyewe kwa manufaa yake.
 
Oya oya mkae mkijua starehe gharama(Rep: chorus
 
mwe ndiko mlikofikia mnaliapia kiingilio kwenda kuona baba zima likilia........du afadhali nimejiuzulu hii fani!
 
Hiyo style haipendezi kabisaa hasa kwa hizi nyimbo anazoimba sasa hivi!!
 
kweli kabisaaaaa, jamaa haimbi huwa analia lia tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…