tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
ukitoa track yake ya neila, nyingine zote ni hovyo...nyimbo kama starehe gharama anaendeleza kulialia, jamaa simuelewi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huna point
Mhm hata kama ni stail wasanii huwa wanabadilika ili kuwapa watu ladha tofauti miaka sasa stail ileile? Amefulia tu na yy na asipojitahidi ataisha muda c mrefu
ata ferooz alikua analia.ila tunda leo nasikia yuko ulaya kupiga shoo sina shaka ni zile za sebuleni.
Kulia ndiyo swagger lake ambalo linampa distinction fulani.
apunguze kulia lia...mpaka kwenye "goma la manzese" analia?