Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Mpaka sasa sijaamini na sitaki kuamini kama mrembo Tunda ana date na Ndaro.
Ikiwa kama kweli wana date, basi hii ndio couple mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa watu maarufu hapa bongo.
Kwangu mimi, hii couple aisee hapana haivutii hata kidogo
Ila tusemeni tu ukweli, Tunda hajui thamani ya uzuri wake ndio maana kila kukicha ana date na watu wa ajabu ajabu.
Ukimtoa Kinje, mpaka sasa sijamuona bwana wa maana ambaye Tunda ame date naye.
Yani kuanzia young D, Casto Dickson, Meja Kunta, Whozu, na huyu wa sasa Ndaro ndio kabisaa hawaendani.
Ndaro na Tunda hawaendani kabisa, kiharaka haraka unaweza kusema Tunda kudate na Ndaro ni kama amenuonea huruma tu ila sio size yake kabisa sawa na hao madogo wengine
Asipotulia na kujitathmini vizuri ataishia kudate na watu wa hadhi ndogo kama hao wengine.
Casto nusu awehuke alivyoachwa na Tunda, Tunda alichangia kumuharibu sana jamaa alikuwa havuti sigara wala pombe ila akaanza kutumia baada ya kuwa penzini na tunda.