Tunda na Ndaro hawaendani hata kidogo, Tunda hajui thamani yake

Hivi Tunda atapata bwana gani wa maana? Au hapo zaman ukimtoa Kinje mwingne yupi wa maana? Kwa mapito ya Tunda sijui km atapata bwana wa maana akaolewaa.

Hii bahati kaipata mama ubayaa imetosha, hata nae karoga sanaaa.
Shida ya Tunda hajatulia, baada ya kuachana na Meja hapa katikati alikitembeza kimtindo sema alikuwa na date na watu wasiokuwa na majina.

Ila kwa huyu wa sasa aisee big No.

Kabugi.
 
Tunda ni wa kawaida sana mkuu alafu uzuri sio ndo kupata wanaume wenye umaarufu na pesa.
Ili uwe na wanaume kama hao lazima uwe na pesa pia
 
Kumbe jinsia KE ndio iliyoanzisha uzi.
Haya wale walio left group na jinsia KE wengine endeleeni kuchangia uzi wenu.
 
Mpaka sasa sijaamini na sitaki kuamini kama mrembo Tunda ana date na Ndaro.

Ikiwa kama kweli wana date, basi hii ndio couple mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa watu maarufu hapa bongo.

Kwangu mimi ,hii couple aisee hapana haivutii hata kidogo

Ila tusemeni tu ukweli ,Tunda hajui thamani ya uzuri wake ndio maana kila kukicha ana date na watu wa ajabu ajabu .

Ukimtoa Kinje, mpaka sasa sijamuona bwana wa maana ambaye Tunda ame date naye.

Yani kuanzia young D, Casto Dickson , Meja Kunta, Whozu, na huyu wa sasa Ndaro ndio kabisaa hawaendani.

Ndaro na Tunda hawaendani kabisa, kiharaka haraka unaweza kusema Tunda kudate na Ndaro ni kama amenuonea huruma tu ila sio size yake kabisa sawa na hao madogo wengine

Asipotulia na kujitathmini vizuri ataishia kudate na watu wa hadhi ndogo kama hao wengine.

Casto nusu awehuke alivyoachwa na Tunda , Tunda alichangia kumuharibu sana jamaa alikuwa havuti sigara wala pombe ila akaanza kutumia baada ya kuwa penzini na tunda

View attachment 3022845View attachment 3022846View attachment 3022847
HUYU NDIYO NDARO? MBONA ANATAKA KUFA SIKU SIYO ZAKE JAMANI
 
Hivi Tunda atapata bwana gani wa maana? Au hapo zaman ukimtoa Kinje mwingne yupi wa maana? Kwa mapito ya Tunda sijui km atapata bwana wa maana akaolewaa.

Hii bahati kaipata mama ubayaa imetosha, hata nae karoga sanaaa.
Kuna nyakati ukiwa mzuri sana ukabahatika kuishi na wenye nazo,sio dhambi kujishusha na kuishi maisha ya kawaida.
Kuishi maisha marefu kunatokana na namna tunavyojibrand na kusikiliza hisia zetu za ndani na si kusikiliza watu.
Maisha yalivyo ni kama mawimbi ya bahari.
 
Mpaka sasa sijaamini na sitaki kuamini kama mrembo Tunda ana date na Ndaro.

Ikiwa kama kweli wana date, basi hii ndio couple mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa watu maarufu hapa bongo.

Kwangu mimi ,hii couple aisee hapana haivutii hata kidogo

Ila tusemeni tu ukweli ,Tunda hajui thamani ya uzuri wake ndio maana kila kukicha ana date na watu wa ajabu ajabu .

Ukimtoa Kinje, mpaka sasa sijamuona bwana wa maana ambaye Tunda ame date naye.

Yani kuanzia young D, Casto Dickson , Meja Kunta, Whozu, na huyu wa sasa Ndaro ndio kabisaa hawaendani.

Ndaro na Tunda hawaendani kabisa, kiharaka haraka unaweza kusema Tunda kudate na Ndaro ni kama amenuonea huruma tu ila sio size yake kabisa sawa na hao madogo wengine

Asipotulia na kujitathmini vizuri ataishia kudate na watu wa hadhi ndogo kama hao wengine.

Casto nusu awehuke alivyoachwa na Tunda , Tunda alichangia kumuharibu sana jamaa alikuwa havuti sigara wala pombe ila akaanza kutumia baada ya kuwa penzini na tunda

View attachment 3022845View attachment 3022846View attachment 3022847
Kama unaona Tunda anafaidi basi nenda nawewe ukapewe mkuyenge
 
Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayari kumpa % kadhaa katika mshahara kama shukurani
 
Mpaka sasa sijaamini na sitaki kuamini kama mrembo Tunda ana date na Ndaro.

Ikiwa kama kweli wana date, basi hii ndio couple mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa watu maarufu hapa bongo.

Kwangu mimi ,hii couple aisee hapana haivutii hata kidogo

Ila tusemeni tu ukweli ,Tunda hajui thamani ya uzuri wake ndio maana kila kukicha ana date na watu wa ajabu ajabu .

Ukimtoa Kinje, mpaka sasa sijamuona bwana wa maana ambaye Tunda ame date naye.

Yani kuanzia young D, Casto Dickson , Meja Kunta, Whozu, na huyu wa sasa Ndaro ndio kabisaa hawaendani.

Ndaro na Tunda hawaendani kabisa, kiharaka haraka unaweza kusema Tunda kudate na Ndaro ni kama amenuonea huruma tu ila sio size yake kabisa sawa na hao madogo wengine

Asipotulia na kujitathmini vizuri ataishia kudate na watu wa hadhi ndogo kama hao wengine.

Casto nusu awehuke alivyoachwa na Tunda , Tunda alichangia kumuharibu sana jamaa alikuwa havuti sigara wala pombe ila akaanza kutumia baada ya kuwa penzini na tunda

View attachment 3022845View attachment 3022846View attachment 3022847
Kama ndaro machine anayo yy ampelekee moto tu huyo tunda hayo ya kuendana hayana maana yoyote.

Bwana wa maana kitu gani bhana unakuta hao mnaowaita bwana wa maana hawamtoshelezi huyo tunda na vibamia vyao.

Ndaro peleka moto tu kwa huyo slut mpaka akimbie mwenyewe
 
Back
Top Bottom