Tunda sikupata ila na yeye nilimkomesha

Watu bana. Kwani nani aliwaambia story zote zinazoletwa hapa huwa za kweli?

Mnakuwa kama si magriit sinkaz asee.... Khaa!

Haya binti mmoja anambie hadisi hii imemfundisha nini.....
 
Imenifundisha nikitoka na mwanaume nihakikishe my wallet is loaded!
Nilishaona hii ze komedy. Joti alilipia vipodozi vyake, afu nae akamuacha jamaa mataa.
Watu bana. Kwani nani aliwaambia story zote zinazoletwa hapa huwa za kweli?

Mnakuwa kama si magriit sinkaz asee.... Khaa!

Haya binti mmoja anambie hadisi hii imemfundisha nini.....
 
Hii stori nishaiskiaga kwa kingredha na kiswahili pia..recycling is good for environment though.
 
Mlimani city hakuna duka linalouza bra na matching (bikini?) kwa tshs 200,000, ama mlikuwa zimbabwe?
Ukitunga story tumia mandhari uliyozoea ili isiwe too fictious.
Hongera kwa kumkomoa.

King'asti sio vizuri kumshushua mwenzako hadharani hivi., si ungemPM airekebishe..khaaaa:yield:
 
Last edited by a moderator:
Good story....

usiache uandishi.... Ila mshkaji noma kweli, yani kukugusa tu, basi tayari ushamweka chini?? duh:frog:

Hapo kwenye bold! Si unajua ukame wa muda mrefu? Jogoo style
 
Mlimani city hakuna duka linalouza bra na matching (bikini?) kwa tshs 200,000, ama mlikuwa zimbabwe?
Ukitunga story tumia mandhari uliyozoea ili isiwe too fictious.
Hongera kwa kumkomoa.

Na mkufu wa dhahabu juu!
 
Hahahaha njia ya mwongo. . .

mimi nimefurahia ujumbe,,fundisho,,,,suala la ni kweli au uwongo,,,ikiwa kweli jamaa angeonekana katili,,,,hivyo vionjo vya mwshon kuonekana ni stori wakati uliisoma kwa hisia na tafakuri za tukio la kweli ni uwezo wa mwandishi kukuteka,,,,kha ha hhaaaaaahaaahaaa haaaaaaaakh
 
Hii story niliiona kwenye FUTUHI star TV ile siku ya Muungano.
 
Mwali wangu ningemnunulia nisingemuumiza kiasi hiki ...ungetakiwa uwe mvumilivu mkuu wangu na kwenye mapenzi kuna baadhi ya mambo hutakiwi kudanganya
 
Last edited by a moderator:
Muda sii mrefu magazeti ya Shigongo yatapata ushindani mkubwa sana. Wanaojiandaa kumpiku shigongo ni wengi sana.
 
inaonekana ulikuwa ndwiiiiiiiiiiiiiiiiiii! maana sekunde tu uko hoiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Imenifundisha nisivae night dress ya pink, na mkono upandishwe haraka haraka kichwani.

Watu bana. Kwani nani aliwaambia story zote zinazoletwa hapa huwa za kweli?

Mnakuwa kama si magriit sinkaz asee.... Khaa!

Haya binti mmoja anambie hadisi hii imemfundisha nini.....
 
hivi kwa nini hayo maswali hawayaulizi wakati mwingine...inauzi kweli wakati umeshajitune kufanya mambo afu maswali yanaanza oh hivi mara vile aaahhhgghhhh:argue:
 
hahaha akuchomae nae mchome.dawa ya moto ni moto ati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…