Tunda wewe ndio Cleopatra wa Tanzania

Habari nyingine ukisoma na kuangalia unajikuta automatically unapatwa na mvurugiko wa tumbo,kuhara ili mradi tabu tu,kwa huyu huenda nna uoni hafifu hanisisimui.
 
Huku ni kupatwa kwa tunda.... Kiukweli sio mzuri kiviiiiile kama unavyomsifia chura haipo yupo flat kama tv yangu ya sony bravia. Hebu mcheck huyu mtoto afu ufananishe na hilo tunda lako
 
Siwezi kulaumu eti kwanini umemsifu wewe, uenda ningemsifu mimi ningemsifu zaidi yako wewe, kwakuwa hanivutii basi endelea kumsifu zaidi wewe hila kuniaminisha mzuri itabidi uje na gobole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…