Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo nywele ni original Au ndio kafara za wahindi?Tunda unazidi ku shine na uzuri wako unakuwa mara mbili zaidi ya jana kila kukicha
Ni ukweli usiopingika kuwa wewe ndiye Cleopatra tuliokuwa tunakusubiri kwa muda mrefu baada ya yule Cleopatra wa zamani kufariki
View attachment 402209
View attachment 402210
View attachment 402211
Wa wapi huyu?
Ohooooo!!!Sasa hivi tutasikia kazaa na domo.