shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
ndio ukwelihahaha brigadia mafya ndo hance halafu kila wakati unakula ban tena jukwaa la starehe ukojee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio ukwelihahaha brigadia mafya ndo hance halafu kila wakati unakula ban tena jukwaa la starehe ukojee
Limetokea jina la huyo brigedia baada ya kuchukua jina langu sehemu zote zenye jina langu wameandika brigediaView attachment 425445View attachment 425446hapa kweli hance mtanashati ndio brigedia naona umekataa ila mm nmeamua kukufanyia ushushushu sasa hapa kwa juu ulmquote mtu kwa jina la brigedia na ukamuambia aweke namba ya simu
baadae kuna mtu akakuquote wewe ila maneno ni yale yale ila jina limekuwa hance mtanashati .. naona unaakaunt nyingne ya hance mtanashati sr nayo umepgwa ban
Jina lake litapoteahance pamoja na kufungua name nyngne unapgwa ban
Mkuu niaje, nini tatizo ban kila sikuLimetokea jina la huyo brigedia baada ya kuchukua jina langu sehemu zote zenye jina langu wameandika brigedia
Sijui ndugu yangu ,ila wameniandikia hiviMkuu niaje, nini tatizo ban kila siku
Kama jina la hance ni tatizo tumia jina jengine account mpya jina jipya
sawa mkuu nitafanya hivyo,nahisi pia na hii watanipa ban muda sio mrefuKama jina la hance ni tatizo tumia jina jengine account mpya jina jipya
Hiyo Spam unajua maana yake nini??Kama jina la hance ni tatizo tumia jina jengine account mpya jina jipya
Fanya hivyo, achana na jina la hance tumia jina jengine tu mkuu halafu baada ya mwezi mmoja anzisha thread ya kumsifia tunda[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]sawa mkuu nitafanya hivyo,nahisi pia na hii watanipa ban muda sio mrefu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuu ngoja nifanye hivyoFanya hivyo, achana na jina la hance tumia jina jengine tu mkuu halafu baada ya mwezi mmoja anzisha thread ya kumsifia tunda[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
*nyota[emoji294] yako babu wa loliondo kasema jina hili la hance huna bahati nalo[emoji1] [emoji1]
*kwanza hata ukitumia jina la Iceman 3D au supermarket halafu ukaanzisha thread ya kumsifia tunda tu tutakujua.
Mkuu tunda anafanya kazi gani Kwan??Tunda unazidi ku shine na uzuri wako unakuwa mara mbili zaidi ya jana kila kukicha
Ni ukweli usiopingika kuwa wewe ndiye Cleopatra tuliokuwa tunakusubiri kwa muda mrefu baada ya yule Cleopatra wa zamani kufariki
View attachment 402209
View attachment 402210
View attachment 402211
saa hz anajiita hance billioneaJina lake litapotea
*nyota yake ya usuperstar inazimwa
*Ni sawa tu na msanii anaetoa nyimbo studio halafu haichezwi redioni wala Tv
nouma sana mganga wa loliondo yule babuFanya hivyo, achana na jina la hance tumia jina jengine tu mkuu halafu baada ya mwezi mmoja anzisha thread ya kumsifia tunda[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
*nyota[emoji294] yako babu wa loliondo kasema jina hili la hance huna bahati nalo[emoji1] [emoji1]
*kwanza hata ukitumia jina la Iceman 3D au supermarket halafu ukaanzisha thread ya kumsifia tunda tu tutakujua.
Nimemuona: hatatimiza masaa 24 huyu atapigwa ban tena[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]saa hz anajiita hance billionea
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]nouma sana mganga wa loliondo yule babu
Demu wa mwisho kuchat nae PM ni nani masaa machache kabla ya ban??[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuu ngoja nifanye hivyo
kwa id ya hance mtanashati sr sijawahi kwa kweli kuongea na mtu yoyote pm isipokuwa niliwafata mods akiwemo maxence mello na wengineo wanipe sababu ya kuigawa account yanguDemu wa mwisho kuchat nae PM ni nani masaa machache kabla ya ban??[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]