juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Mkuu nyimbo zote anaomboleza tu,au kuna nyimbo hajalilia kati a hizo ulizotaja?Aisee Ferouz mtoe ktk hiyo list bora huyo Tundaman ila sio Ferouz vuta picha Barua, Kamanda, Boss, Dhamana aisee kakojoe ukalale hakuna mkamilifuu[emoji3][emoji3]
Sasa mkapa na muziki wapi na wapi?? Nyimbo zao zotewanalia na hawaimbikumbe unawahukumu kwa nyimbo moja moja kama ferooz hajui kuimba asingepewa gar na mkapa
Mkuu nyimbo zote anaomboleza tu,au kuna nyimbo hajalilia kati a hizo ulizotaja?
Utaalam ukizidi ni shida,chege na linex wapo real kwwnye kuimba saut inatokea mdomoni
Neno kuntuHuwa tunaheshimu mitazamo ya watu kama wewe sababu unauhuru wa kujieleza
puan na si saut zao mfano mb dogUtaalam ukizidi ni shida,
Hivi wengine sauti huwa zinatokea makalioni eee?
Oanisha hii hoja yako na nyimbo ulizotajiwa kisha jitafakari unless kama hizo nyimbo huzifahamu!Mkuu nyimbo zote anaomboleza tu,au kuna nyimbo hajalilia kati a hizo ulizotaja?
chege na linex wapo real kwwnye kuimba saut inatokea mdomoni