Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Utaalam ukizidi ni shida,
Hivi wengine sauti huwa zinatokea makalioni eee?
Sina ushabiki maandaziHuyo tundaman mdharau utakavyo...But chegge na Ferouz naomba ujiheshimu kidogo mkuu.....Tena shika adabu yako kabisa
Wewe ni mfuasi na si shabiki wa muzikiYaani huyu mtu hajui mziki kabisa, chegge na ferooz ni habari ya nyingine.....labda huyo tundamani.
Wewe ni mfuasi na si shabiki wa muziki
Teh teh teh teh umenikumbusha Wataliano wa Bwejuu Zanzibar (Mahotelini)[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]...kwahiyo wewe ndo unajua muziki?
...fankurodinyero!!
Kama unajua muziki utaelewa ninachomaanisha, ila kama hujui basi hutaelewa kamwe, hao wasanii watatu nadhani ndio wasanii wabovu kabisa hapa Tz, hawajui kuimba kabisa.
Hao ni wasanii wa kuomboleza tu, maana wao kila nyimbo wanalilia tu hata kama ni nyimbo ya kuparty,
- CHEGE sikiliza Dar mpaka Moro alivyolialia wakati ni nyimbo ya furaha
- FEROUZ sikiliza Jirushe alivyolialia wakati ni nyimbo ya kuparty
- TUNDAMAN sikiliza Starehe gharama alivyolialia wakati ni nyimbo ya kuparty, tena huyu ndio analia vibaya sana, sikiliza Pesa ya Madee.
Sasa hawa wasanii wanaomboleza nini kila wimbo jamani??[emoji15] [emoji15]
We na wewe sujui ni wapi,mbona akili yako imelala sana?[emoji15]kichwa cha habari kinasema hao jamaa sio wasanii kabisa...lakini kwenye maelezo yako unasema hao jamaa hawajui kuimba... hebu tulia kwanza.. unachotaka kusema ni kipi hasa? hawajui kuimba au sio wasanii? hebu chagua moja uwahukumu maana hivyo vitu viwili ni tofauti kabisa..usijichanganye na usituchanganye!
Kama unajua muziki utaelewa ninachomaanisha, ila kama hujui basi hutaelewa kamwe, hao wasanii watatu nadhani ndio wasanii wabovu kabisa hapa Tz, hawajui kuimba kabisa.
Hao ni wasanii wa kuomboleza tu, maana wao kila nyimbo wanalilia tu hata kama ni nyimbo ya kuparty,
- CHEGE sikiliza Dar mpaka Moro alivyolialia wakati ni nyimbo ya furaha
- FEROUZ sikiliza Jirushe alivyolialia wakati ni nyimbo ya kuparty
- TUNDAMAN sikiliza Starehe gharama alivyolialia wakati ni nyimbo ya kuparty, tena huyu ndio analia vibaya sana, sikiliza Pesa ya Madee.
Sasa hawa wasanii wanaomboleza nini kila wimbo jamani??[emoji15] [emoji15]
Tozi na wewe kumbe hujui muzikiChegge mwimbaji kila mwana mziki ana style yake.