Tundaman, Chegge na Ferouz sio wasanii kabisa

Achana na feruz ww sema hao wengne chegge,tundaman ndo malofaaa
 
Tundaman hiyo ndio "brand" yake, sasa wewe ulitaka wawe wote na kionjo kimoja alisema nani.
 
Yaani huyu mtu hajui mziki kabisa, chegge na ferooz ni habari ya nyingine.....labda huyo tundamani.
 
Tupe nyimbo yako tusikilize na hiyo sauti yako kama mchizi moksi,,
 

kichwa cha habari kinasema hao jamaa sio wasanii kabisa...lakini kwenye maelezo yako unasema hao jamaa hawajui kuimba... hebu tulia kwanza.. unachotaka kusema ni kipi hasa? hawajui kuimba au sio wasanii? hebu chagua moja uwahukumu maana hivyo vitu viwili ni tofauti kabisa..usijichanganye na usituchanganye!
 
We na wewe sujui ni wapi,mbona akili yako imelala sana?[emoji15]
 


Hii umeandika hadithi, tamthilia au riwaya? haieleweki ...
 
Huyu tundaman kiukweli sijawahi kufikiria kama anaweza kwenda kufanya show hata hapo kilwa tuu,mimi kwa upande wangu naona huyu mtu hafai kabisa
 
mkuu ebu na wewe imba wimbo alafu lia lia tu mwanzo mwisho tutakusapoti uwe star na wewe upige hela kama wao
 
Huo n mtazamo wako mkuu. Wewe wimbo wako upi ulifanya fresh ktk game?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…