Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kwa kiasi kikubwa, wanafanana mambo mengi sana, ikiwa ni pamoja na maneno mengi matupu yasiyo na ushawishi.
Ni watu wenye hulka za ubinafsi, ku-outoshine na ku-othwart mabosi zao hadharini. Rigathi Gachagua ana pitia undesirable consequences kwa sasa kutokana na tabia hiyo.
Mara nyingi watu wa aina hii kwenye siasa na uongozi, huishia kwenye unyonge na upweke wa kisiasa na kujikuta kumbe hawana wafuasi na hawana ushawishi kabisa kwenye jamii.
what do you think about Press conference ya Lisu ambayo ina viashiria vyote vya kumzodoa boss wake huku yeye akijiona kama malaika?🐒
Mungu Ibariki Tanzania