Tundu Antipas Lissu na Rigathi Gachagua, aliyekuwa Naibu Rais Kenya wanatofautiana nchi tu

..Watanzania wanamjua Tundu Lissu kuwa ni mtetezi wa HAKI.

..hutafanikiwa kumchafua Tundu Lissu. Wenye madaraka na rasilimali zaidi yako walijaribu wameshindwa.
 
Hilo nalo ni la maana sana,

kwasasababu anajikanyaga tu,
kaulizwa haya unayoyaesma yana baraka za chama na ndiyo msimamo wa chadema au ni maoni yake?

eti anaependelea yawe ndio msimamo wa chama 🤣

sasa kumbe anakitumia chama kueleza maoni yake, badala ya kutumia vikao vya ndani ya chama kukishauri na kushawishi viongoz wenzake juu ya mambo hayo, jamaa anakurupuka mwenyewe kibinafsi tu 🐒
Ndio maana uchaguzi wa 2020 ilani ilikuwa ni lolote lile linalomjia katika Mdomo wake.
 
Mimi naona pengine Lissu bado ni mgonjwa anayehitaji matibabu ya kisaikolojia.Maana muda wote anajifanya malaika na kutaka kumtweza na kumshushia heshima Mbowe hadharani.
Hoja za lisu zijibiwe kwa hoja siyo taarabu. Ivi wewe na lisu nani ana matatizo ya kisaikolojia?
Kitwa kucha kumsifia mama wa mwenzio ? Hayo siyo matatizo mkuu
 
acha utani basi kwenye mambo serious ya msingi gentleman? Lisu ana hoja gani za maana hata watu wapoteze muda wao kumjibu?

kwa matatizo yaliyompata hayakosi kuamuathiri kisaikolojia bindamu yeyote yule, mnamng'ang'aniza mbaba wa watu kajichokea 🐒
 
Sasa unaanzisha nyuzi na nyuzi kumjadili kwann? Wewe lisu ulimjua kipindi anapigwa shaba. Wenzako tulimjua tangu enzi za buzwagi, North mara nk. We wakati huo ulikuwa hujaja Town bado.
Lisu ana akili kubwa ndo mana ema akatoka pangoni leo shain
 
Ndio maana uchaguzi wa 2020 ilani ilikuwa ni lolote lile linalomjia katika Mdomo wake.
sasa hivi ni dhahiri hayuko fit kabsaa.. anajaribu kujilazimisha kwamba yuko fit, lakini waerevu ndani ya chama chake soon watamdamp kwasabb ya ubinafsi wake kwenye masuala muhimu ya jumla 🐒
 
Sasa unaanzisha nyuzi na nyuzi kumjadili kwann? Wewe lisu ulimjua kipindi anapigwa shaba. Wenzako tulimjua tangu enzi za buzwagi, North mara nk. We wakati huo ulikuwa hujaja Town bado.
Lisu ana akili kubwa ndo mana ema akatoka pangoni leo shain
eti si nimekuja na chupa ya maji hapa iko wapi? eti mtu yuko kwenye press conference na hajaandaliwa maji 🤣

ubinafsi ni kitu kibaya sana.
ni muhimu kujipanga na wenzake ndio maana wengine wanashuku huenda kisaikolojia anayo shida, 🐒
 
Kwa kiasi kikubwa, wanafanana mambo mengi sana, ikiwa ni pamoja na maneno mengi matupu yasiyo na ushawishi.

Ni watu wenye hulka za ubinafsi, ku-outoshine na ku-othwart mabosi zao hadharini. Rigathi Gachagua ana pitia undesirable consequences kwa sasa kutokana na tabia hiyo.

Mara nyingi watu wa aina hii kwenye siasa na uongozi, huishia kwenye unyonge na upweke wa kisiasa na kujikuta kumbe hawana wafuasi na hawana ushawishi kabisa kwenye jamii.

what do you think about Press conference ya Lisu ambayo ina viashiria vyote vya kumzodoa boss wake huku yeye akijiona kama malaika?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ili ujue kwamba lissu ana ushawishi unataka amtongoze mama yako? Hivi watu wenye mawazo ya kijinga kama wewe kwako unafurahi sana anapotokea kiongozi na kutoa ahadi tamutamu ambazo hazitekelezeki?Nchi ili isonge mbele inatakiwa kuwe na viongozi ambao nyeusi ni nyeusi
 
relax gentleman,
hakuna haja ya mihemko wala dhihaka japo amewafundisha huyo Lisu...

Lisu ni kibaraka sio kibaraka?🐒
 
Kwa kiasi kikubwa, wanafanana mambo mengi sana, ikiwa ni pamoja na maneno mengi matupu yasiyo na ushawishi.

Ni watu wenye hulka za ubinafsi, ku-outoshine na ku-othwart mabosi zao hadharini. Rigathi Gachagua ana pitia undesirable consequences kwa sasa kutokana na tabia hiyo.

Mara nyingi watu wa aina hii kwenye siasa na uongozi, huishia kwenye unyonge na upweke wa kisiasa na kujikuta kumbe hawana wafuasi na hawana ushawishi kabisa kwenye jamii.

what do you think about Press conference ya Lisu ambayo ina viashiria vyote vya kumzodoa boss wake huku yeye akijiona kama malaika?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mkuu nadhani kuna tofauti nyingi kati ya Gachagua na Lissu.
1.Gachagua ana ukwasi mkubwa sana ukilinganisha na Lissu.
2.Gachagua yupo katika siasa za kikanda au kikabila,Lissu yeye kabila lake ni taifa lake.
3.Gachagua anaamini tena bila kupepesa macho kuwa jimbo au county wanaokipigia kura chama chake na kikapata ushindi ndio wenye hisa yaani shares kubwa kutawala,kupata viongozi wengi wa juu,kupewa miradi mikubwa kwenye majimbo yao,na waliokipigia kura chama kingine wawekwe nyuma,regardless wote ni walipa kodi na ni wananchi wa Taifa mmoja.
Lissu hana ushamba huo wa village man Gachagua.
4.Mwisho siasa za Kenya na Tanzania ni tofauti kabisa,
Mtu mmoja kiongozi wa chama anaweza asubuhi akawa ODM,mchana akaingia UDA jioni akaungana na AZIMIO usiku akalala Kenya Kwanza hakuna Ideology. Akihama anahama na wafuasi wake.
 
kwan chadema kuna ideology gentleman?

kulikoni upande moja uitwe wa kibaraka ambao unatafuta njia ya kuingiza ukwasi wa mabwenyenye ya magharibi wanaomfadhili, na upande mwingine uitwe wa kizalendo?

na mbona pia chadema kuna wanao tetea haki zisizo za kimaadili mathalani ushoga, utoaji mimba na ndoa za jinsia moja, lakini pia wapo wanao pinga? ideology iko wapi hapo hata uwatofautishe na Kenya ambao unasema leo anaamka Azimio kesho Kenya kwanza?

Bado aina ya siasa za lisu na Gachagua zinafanana mno hasa kwenye kupingana na kuwazodoa mabosi zao hadharini kiaina.

Lisu atatimuliwa chadema kama alivyotimuliwa Gachagua serikalini na UDA deputy party leader, na kwa wakati muafaka. Siombei hilo lakini kunaonekana bayana linakuja 🐒
 
Back
Top Bottom