Misukule= misukure ? Tuanze na lugha kwanzaLissu hana wafuasi ana misekure anaimiliki haina akili hata hapa utaona wanakupinga!
Misukure nimekula chumvi mkoani kwetu hatulegezi ulimi misukule!Misukule= misukure ? Tuanze na lugha kwanza
Siyo suala la kulegeza ulimi. Ni suala la kujifunza. Hatuongelei mikoa tunaongelea lugha ya taifa hapaMisukure nimekula chumvi mkoani kwetu hatulegezi ulimi misukule!
Misukule ya mzee Mbowe leo imevurugwa kisawasawaKwa kiasi kikubwa, wanafanana mambo mengi sana, ikiwa ni pamoja na maneno mengi matupu yasiyo na ushawishi.
Ni watu wenye hulka za ubinafsi, ku-outoshine na ku-othwart mabosi zao hadharini. Rigathi Gachagua ana pitia undesirable consequences kwa sasa kutokana na tabia hiyo.
Mara nyingi watu wa aina hii kwenye siasa na uongozi, huishia kwenye unyonge na upweke wa kisiasa na kujikuta kumbe hawana wafuasi na hawana ushawishi kabisa kwenye jamii.
what do you think about Press conference ya Lisu ambayo ina viashiria vyote vya kumzodoa boss wake huku yeye akijiona kama malaika?π
Mungu Ibariki Tanzania
Acha uchawa wa kijinga wewe!Lissu hana wafuasi ana misekure anaimiliki haina akili hata hapa utaona wanakupinga!
Tundu Lissu atajuta sanq kutumia ummaarifu wake kuendleza SACCOSLissu hana wafuasi ana misekure anaimiliki haina akili hata hapa utaona wanakupinga!
Acha uchawa wa kijinga wewe!Mimi naona pengine Lissu bado ni mgonjwa anayehitaji matibabu ya kisaikolojia.Maana muda wote anajifanya malaika na kutaka kumtweza na kumshushia heshima Mbowe hadharani.
Haya kanywe maji upumzike!Acha uchawa wa kijinga wewe!
Kwani Lissu alishakuwa Makamu wa Rais?Kwa kiasi kikubwa, wanafanana mambo mengi sana, ikiwa ni pamoja na maneno mengi matupu yasiyo na ushawishi.
Ni watu wenye hulka za ubinafsi, ku-outoshine na ku-othwart mabosi zao hadharini. Rigathi Gachagua ana pitia undesirable consequences kwa sasa kutokana na tabia hiyo.
Mara nyingi watu wa aina hii kwenye siasa na uongozi, huishia kwenye unyonge na upweke wa kisiasa na kujikuta kumbe hawana wafuasi na hawana ushawishi kabisa kwenye jamii.
what do you think about Press conference ya Lisu ambayo ina viashiria vyote vya kumzodoa boss wake huku yeye akijiona kama malaika?π
Mungu Ibariki Tanzania
Inawezekana,Lissu hana wafuasi ana misekure anaimiliki haina akili hata hapa utaona wanakupinga!
Hatari sana amechokwa ila anajipendekeza!Inawezekana,
kwasabb nimeshangaa sana, eti mwisho wa kikao anawauliza watu wake hivi si nimekuja na chupa ya maji ya kunywa, iko wap?π€£
kumbe hapakua hata na maandalizi ya mikutano dah π
Hilo nalo ni la maana sana,Mimi naona pengine Lissu bado ni mgonjwa anayehitaji matibabu ya kisaikolojia.Maana muda wote anajifanya malaika na kutaka kumtweza na kumshushia heshima Mbowe hadharani.