johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenye CV yake atuwekee ili tuichambue kwa kina isije kuwa ndio walewale akina PK na M7
2025 siyo mbali jamani na alitakalo mmarekani huwa
2020 Tundu Lissu alikuja " kibabe" sana kugombea Urais wa JMT
Jumaa kareem!
2025 siyo mbali jamani na alitakalo mmarekani huwa
2020 Tundu Lissu alikuja " kibabe" sana kugombea Urais wa JMT
Jumaa kareem!