Tundu Antipas Lissu ni nani hasa?

Mwenye CV yake atuwekee ilu tuichambue kwa kina
Ni kijana fulani wa kutoka Singida vijijini ndani ndani, bushi kabisa, tukakutana Ilboru, dogo akiwa O-Level mimi A-Level HGL. Dogo akapiga 1, Olevel akaenda Galanos nako akapiga 1 Alevel na kutimba UDSM kusomea sheria LL.B

Nikaja kukutana naye tena Atlanta Marekani yeye akiwa LEAT, mimi nikitembelea familia inaishi US, wife ni Mtanzania ila ni US subjet na anaishi kule.

Baadaye akatinga bungeni na huko sasa ndiko wengi wakamfahamu kwa jinsi anavyo wachachafya wale mazuzu mule!.

Kwa vile mimi ni Big Brother wake, nimekuwa nikimshauri vitu vingi, miongoni mwake ni hivi naweka 10 tuu lakini ukitaka 20 vipo, ukitaka 30 vipo... hadi 50!.
P
 
Kwahiyo ninyi wawili mlikutana Atlanta Marekani miaka Hiyo, nimekuelewa sana mkuu!
 
Yaani ulivyoeleza nakuona Kama vile unasimulia huku unatembea. Tunatamani kuendelea kusoma gafla ikaisha.✌️
 
Dung'unyi ni kijiji cha ndani bushi kbs Singida? [emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…