Tundu Lissu acha kujibizana na Lemutuz, mpuuze tu

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,397
Reaction score
9,255
Wasalaam,

Nimeona majibu ya Tundu Lissu kwa 'King of all social network' Lemutuz na majibu ya Lemutuz kwa Tundu Lissu kwa kile kinachoitwa 'Urafiki' , Ushauri mkubwa kwa kaka Tundu Lissu ulivyomjibu inatosha na achana naye huyu sio saizi ya kujibizana na wewe naona anaforce 'kaurafiki' kwa lazima.

Japo ulikuwa unaweka record sawa ila kwa haya majibu aliyoyatoa 'huyu rafiki' ni vema ungempuuza tu.
 
Ha ha haaaa
Anaogopa kujulikana ni rafiki yake

Alipomtuma Le Mutuz kwa wazazi wake alikuwa adui yake.. ha ha haaaaaa
Lissu anakitu anataka kwenye uongozi Chadema na hao wenzake watadili nae tena hata nukta aone chungu kuidonoa.. mdomo mrefuuuuuuuu huku uongozi hajui kabisaaaa.
 
Wasalaam,

Nimeona majibu ya Tundu Lissu kwa 'King of all social network' Lemutuz na Majibu ya Lemutuz kwa Tundu Lissu kwa kile kinachoitwa 'Urafiki' , Ushauri mkubwa kwa kaka Tundu Lisu ulivyomjibu inatosha na achana naye huyu sio saizi ya kujibizana na wewe naona anaforce 'kaurafiki' kwa lazima.

Kweli kabisa.Lakini bora ameweka record sawa,naona kinachotafutwa na Le-Mutuz ni kuweka mgawanyiko kwa wanachama wa CDM ili waone mbona hivi na vile .Naona kwa sasa tumekosa strategic point za kujenga viwanda
 
Wasalaam,

Nimeona majibu ya Tundu Lissu kwa 'King of all social network' Lemutuz na Majibu ya Lemutuz kwa Tundu Lissu kwa kile kinachoitwa 'Urafiki' , Ushauri mkubwa kwa kaka Tundu Lisu ulivyomjibu inatosha na achana naye huyu sio saizi ya kujibizana na wewe naona anaforce 'kaurafiki' kwa lazima.

Japo ulikuwa unaweka record sawa ila kwa haya majibu aliyoyatoa 'huyu rafiki' ni vema ungempuuza tu.
Ungejibia hukohuko ulikoona hayo majibishano yao sisi hatujayaona mabishano yao!
 
from @lemutuz_superbrand - LE MUTUZ MOBIMBA! .....LE MUTYZ CINTWAYEEN! .....LE MUTUZ BIMAYEEE....HAHAHAHAAHAHA ....politics ....hahahaha ndugu yangu kwanza pole sana kwa masahibu yaliyokukuta ...NIMEKUSIKIA LOUD AND CLEAR..Kaka yako alitokea Tanzania then akaja kukupokea JFK na kukupeleka Connecticut? ....hahahaha this is the biggest joke of my life .....NILIKUFANYIA WEMA AMBAO SIUJUTII PAMOJA NA KELELE ZAKO ZA MLANGO! ... na pia ungesema yote ya jinsi nilipoenda Kijijini kwa Wazazi wako nilikua nafuata nini wakati mimi na wewe hatuna mahusiano yoyote? AGAIN NILIKUFANYIA WEMA KAMA RAFIKI NA SIUJUTII KWA SABABU YA KELELE ZAKO ZA MLANGO ... ..hahaha...halafu pia ungesema tulipoanzia kukutana kwenye Vita ya Jamiiforums ulipokuwa Mwanasheria wetu si ndiko tulikoanzia mbona hukusema hiyo tulipokua tunapigana kuwatoa ndani jamaa zetu au umesahau kwa sababu ya Politics? .....ni kweli mara ya mwisho tulikutana Ofisini kwa Bosi wako Mbowe ukalalamika sana kwamba mimi ni "MAGAMBA" na hunitaki tena sawa ila haifuti record ya tulikotokea ...MUOGOPE MUNGU KIDOGO hahahaa lakini NIMEKUSOMA ..NAKUOMBEA MUNGU AKUTANGULIE UPONE HARAKA! ...hayo mengine ni Politics as Usual nimekuelewa! - le Mutuz

C&P
 
Tusaidie tuwekee mtiririko wote hapo awali Lemutuz alisema nini na Lissu alijibu nini na kupelekea ajibiwe hivi na Lemutuz.

Msaidie mleta mada uandishi wake hauna mtiririko mzuri. Habari ipo hewani hewani inaning'inia.
 
from @lemutuz_superbrand - LE MUTUZ MOBIMBA! .....LE MUTYZ CINTWAYEEN! .....LE MUTUZ BIMAYEEE....HAHAHAHAAHAHA ....politics ....hahahaha ndugu yangu kwanza pole sana kwa masahibu yaliyokukuta ...NIMEKUSIKIA LOUD AND CLEAR..Kaka yako alitokea Tanzania then akaja kukupokea JFK na kukupeleka Connecticut? ....hahahaha this is the biggest joke of my life .....NILIKUFANYIA WEMA AMBAO SIUJUTII PAMOJA NA KELELE ZAKO ZA MLANGO! ... na pia ungesema yote ya jinsi nilipoenda Kijijini kwa Wazazi wako nilikua nafuata nini wakati mimi na wewe hatuna mahusiano yoyote? AGAIN NILIKUFANYIA WEMA KAMA RAFIKI NA SIUJUTII KWA SABABU YA KELELE ZAKO ZA MLANGO ... ..hahaha...halafu pia ungesema tulipoanzia kukutana kwenye Vita ya Jamiiforums ulipokuwa Mwanasheria wetu si ndiko tulikoanzia mbona hukusema hiyo tulipokua tunapigana kuwatoa ndani jamaa zetu au umesahau kwa sababu ya Politics? .....ni kweli mara ya mwisho tulikutana Ofisini kwa Bosi wako Mbowe ukalalamika sana kwamba mimi ni "MAGAMBA" na hunitaki tena sawa ila haifuti record ya tulikotokea ...MUOGOPE MUNGU KIDOGO hahahaa lakini NIMEKUSOMA ..NAKUOMBEA MUNGU AKUTANGULIE UPONE HARAKA! ...hayo mengine ni Politics as Usual nimekuelewa! - le Mutuz

C&P
Le Mutuz is so stupid..
Zee la miaka zaidi ya 60 lakini ndio ivyo tena limegoma kukua kabisa..
Pole nyingi kwa Mzee Malecela.
 
from @lemutuz_superbrand - LE MUTUZ MOBIMBA! .....LE MUTYZ CINTWAYEEN! .....LE MUTUZ BIMAYEEE....HAHAHAHAAHAHA ....politics ....hahahaha ndugu yangu kwanza pole sana kwa masahibu yaliyokukuta ...NIMEKUSIKIA LOUD AND CLEAR..Kaka yako alitokea Tanzania then akaja kukupokea JFK na kukupeleka Connecticut? ....hahahaha this is the biggest joke of my life .....NILIKUFANYIA WEMA AMBAO SIUJUTII PAMOJA NA KELELE ZAKO ZA MLANGO! ... na pia ungesema yote ya jinsi nilipoenda Kijijini kwa Wazazi wako nilikua nafuata nini wakati mimi na wewe hatuna mahusiano yoyote? AGAIN NILIKUFANYIA WEMA KAMA RAFIKI NA SIUJUTII KWA SABABU YA KELELE ZAKO ZA MLANGO ... ..hahaha...halafu pia ungesema tulipoanzia kukutana kwenye Vita ya Jamiiforums ulipokuwa Mwanasheria wetu si ndiko tulikoanzia mbona hukusema hiyo tulipokua tunapigana kuwatoa ndani jamaa zetu au umesahau kwa sababu ya Politics? .....ni kweli mara ya mwisho tulikutana Ofisini kwa Bosi wako Mbowe ukalalamika sana kwamba mimi ni "MAGAMBA" na hunitaki tena sawa ila haifuti record ya tulikotokea ...MUOGOPE MUNGU KIDOGO hahahaa lakini NIMEKUSOMA ..NAKUOMBEA MUNGU AKUTANGULIE UPONE HARAKA! ...hayo mengine ni Politics as Usual nimekuelewa! - le Mutuz

C&P

Just google Cv ya huyo mdogo wake lissu utaona mwaka alio graduate na jina la chuo, then utagundua nani muongo.
 
Leo nimecheka sana yaani lemutuz anamuandikia lissu maneno kama mdogo wake wakati huo lissu ana miaka 50+ sijui lemutuz atakuwa na mingapi
 
Kwa taarifa yako Lemutuz ni 60+...ila tangu miaka ya 1990 jamaa amekuwa akisema ana 40+...Jumlisha utapata jibu
 
Nisije nikadandia treni kwa mbele sijui itokako ilipo iendako nasubili kometi nyingine tu nisome
 
Ila wanasiasa wa bongo bado sana, kwani kuna shida gani mtu wa CDM akawa na urafiki na mtu wa CCM??
Kwann mnalazimisha chuki zisizo na tija na kusahau sote sisi ni taifa moja na siasa sio kabila kusema haibadilishiki.

Alichokifanya Lissu uongo mbaya hakikua fair kabisa nilishtuka nikadhani kuna mtu ame hack account yake, mbona yule jamaa hakusema kwa ubaya why yeye amepanic namna ile kama vile kaambiwa yeye ndio alimuapisha Raila Odinga hahahaha.

Hii mitandao ya kijamii inawapeleka baadhi ya watu vibaya.
 
Unaongea as if wote tunajua kilichokuwa kinaongelewa

Lemutuz Adai ni Rafiki Mkubwa wa Tundu Lissu...Adai Alimsaidia Wakiwa Marekani..

Lemutuz Jana aliweka picha Hii kwenye ukurasa wake wa Instagram na kudai Tundu Lissu ni Rafiki yake mkubwa:

Jisomee Hapa chini alichoandika:

From @lemutuz_superbrand - SUPER MEMORY....nimeikuta maktaba ...with my Great Friend Mh. Tundu Lissu Mwaka 2010 baada ya kumpokea JFK/New York City na kumuendesha na gari langu binafsi mpaka Connectcut State/USA ..ambako tulienda kuhudhuria Sherehe za Dada yake kumaliza Degree at Conn. State University.....najua enzi hizo vijana wengi wadogo humu instagram mlikua hamjui lolote na wengi mlikua hamjazaliwa...ila mnajua kelele tu za mlango.....Ndugu yangu Lissu siasa pembeni Mungu Akutangulie Ndugu yangu Upone haraka! ...AMEN! - le Mutuz

MAJIBU YA TL

Tundu Lissu Amuumbua Lemutuz Baada ya Kudai ni Rafiki yake " Lemutuz Asilazimishe Urafiki"

09:08 1 [disqus]

Baada ya Lemutuz kuandika katika ukurasa wake kuwa Tundu Lissu alikuwa rafiki yake mkubwa...Tundu Lissu amefunguka na kudai Lemutuz asilazimishe urafiki ambao haukuwepo...

Jisomee Hapa chini:
_

From @tundulissutz - LEMUTUZ ASILAZIMISHE URAFIKI USIOKUWEPO!!! .

Leo nimeonyeshwa post iliyopo kwenye Instagram account ya William Malecela aka Lemutuz.

Kwenye post yake, Lemutuz amedai kwamba mimi ni rafiki yake mkubwa na wa miaka mingi, kabla vijana wengi wanaopiga makelele mitandaoni hawajazaliwa.

Lemutuz ameeleza kwamba mwaka 2010 alinipokea Uwanja wa Ndege wa John F. Kennedy, mjini New York, nilipoenda kwenye mahafali ya dada yangu. .

Amewaambia wasomaji wake kwamba alinichukua kwenye gari yake binafsi kutoka JFK hadi Connecticut kwenye graduation ya dada yangu aliyodai ilikuwa Connecticut State University. .

Ili kuthibitisha kauli zake, Lemutuz ameambatanisha picha niliyopiga naye, ambayo nitaielezea shortly. .

Naomba kuweka ukweli wa kauli za Lemutuz wazi ili kuweka rekodi sawa.

Kwanza, nimemfahamu Lemutuz tangu mwezi Mei, 2011. Nilikutana naye mara ya kwanza kwenye mahafali ya mdogo wangu kaka (sio dada) Vincent Mughwai, aliyekuwa anasoma Bridgeport University (sio Connecticut State University). Kama nakumbuka vizuri, Lemutuz alikuwa MC kwenye shughuli hiyo. Na siku hiyo kulikuwa na Watanzania wengine wengi waishio Marekani. .

Lemutuz hakunipokea mimi JFK wala kunipeleka Bridgeport, Connecticut, kwenye gari yake binafsi. Hatukuwa tunafahamiana kabla ya kukutana kwenye graduation ya kaka Vince, siku kadhaa baada ya mimi, mke wangu na ndugu zangu wengine kuwasili Marekani. .

Pili, ni kweli tulipiga picha ambayo ameitoa kama uthibitisho wa 'urafiki' wetu. Siku hiyo, kama ilivyo kwenye shughuli kama hizo, nilipiga picha na Watanzania karibu wote waliohudhuria graduation hiyo...

Kama Lemutuz, wengi wa niliyopiga nao picha nilikuwa siwafahamu kabisa kabla ya kukutana nao siku hiyo. .

Tatu, tangu siku hiyo sijawahi kufanya mawasiliano na Lemutuz ya aina yoyote. Nakumbuka tu kukutana na kusalimiana nae bungeni mwaka 2012, wakati alipokuja Dodoma akitaka kugombea ubunge wa Afrika Mashariki. .

Mimi sijajua sababu ya Lemutuz kutaka kulazimisha urafiki na mimi usiokuwepo. Yeye ni rafiki mkubwa wa Bashite na mpiga debe wa Rais Magufuli. .

Mimi ni mpinzani mkubwa wa Magufuli na nimelipa gharama kubwa kwa sababu ya msimamo wangu tangu Magufuli aingie madarakani. .

Huo 'urafiki mkubwa' unaodaiwa kuweka kati yangu na Lemutuz msingi wake ni nini???
.

Mwisho, ukitaka kuongopa hadharani basi angalau uwe na kumbu kumbu sahihi. Lemutuz anadai tulikutana 2010 wakati ilikuwa Mei 2011. .

Anadai nilikwenda kwenye graduation ya dada yangu (ambaye hata jina hakumtaja!) wakati ilikuwa graduation ya kaka yangu Vincent Mughwai. .

Anadanganya ilikuwa Connecticut State University wakati ilikuwa Bridgeport University. Anadai alinipokea JFK wakati nilipokelewa na kaka yangu Vincent. .

Na tangu nimepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na wanaoitwa 'watu wasiojulikana', rafiki yangu mkubwa huyu hajawahi kunitumia hata kadi ya pole!!! .

Huu ni urafiki feki wa kuwadanganyia Watanzania wasioelewa. .

Msidanganyike!!!

By Tundu Lissu
 
Hawa hawa CCM ndio wanataka kumuua Tundu Lissu, kwahiyo hata hili kumshambulia kwenye mitandao hatushangai .
 
Sikujua kama Tundu Lissu ni very weak kiasi hicho.
Huhitaji kutumia nguvu nyingi kujua Kuwa william na Lissu wanafahamiana,ila Tundu Lissu kwa akili yake kaona akikana itamsaidia kisiasa
 
Ha ha haaaa
Anaogopa kujulikana ni rafiki yake

Alipomtuma Le Mutuz kwa wazazi wake alikuwa adui yake.. ha ha haaaaaa
Lissu anakitu anataka kwenye uongozi Chadema na hao wenzake watadili nae tena hata nukta aone chungu kuidonoa.. mdomo mrefuuuuuuuu huku uongozi hajui kabisaaaa.

Sasa ndio umeandika nini wewe debe tupu ??

Embu rudia kusoma kama utaelewa ulichoandika

Akili zenu zinafanana kama maana vichwa vyenu vimebonyea katikati
 
Ha ha haaaa
Anaogopa kujulikana ni rafiki yake

Alipomtuma Le Mutuz kwa wazazi wake alikuwa adui yake.. ha ha haaaaaa
Lissu anakitu anataka kwenye uongozi Chadema na hao wenzake watadili nae tena hata nukta aone chungu kuidonoa.. mdomo mrefuuuuuuuu huku uongozi hajui kabisaaaa.
Na wewe unatafuta nini huko kwenu?
 
Back
Top Bottom