Ila wanasiasa wa bongo bado sana, kwani kuna shida gani mtu wa CDM akawa na urafiki na mtu wa CCM??
Kwann mnalazimisha chuki zisizo na tija na kusahau sote sisi ni taifa moja na siasa sio kabila kusema haibadilishiki.
Alichokifanya Lissu uongo mbaya hakikua fair kabisa nilishtuka nikadhani kuna mtu ame hack account yake, mbona yule jamaa hakusema kwa ubaya why yeye amepanic namna ile kama vile kaambiwa yeye ndio alimuapisha Raila Odinga hahahaha.
Hii mitandao ya kijamii inawapeleka baadhi ya watu vibaya.