Tundu Lissu acha kujibizana na Lemutuz, mpuuze tu

Tundu Lissu acha kujibizana na Lemutuz, mpuuze tu

Sikujua kama Tundu Lissu ni very weak kiasi hicho.
Huhitaji kutumia nguvu nyingi kujua Kuwa william na Lissu wanafahamiana,ila Tundu Lissu kwa akili yake kaona akikana itamsaidia kisiasa
Uongo ukirudi wa sana huwa ukweli
 
Urafiki si lazima lakini lissu unamkana le mutuz kisa ni swahiba wa bashite na ni mpinzani wa magufuli siasa si uadui rudia tukio la juzi wakongwe wa kisiasa walivyokutana msibani kwa kingunge lissu bado saaaana!
 
from @lemutuz_superbrand - LE MUTUZ MOBIMBA! .....LE MUTYZ CINTWAYEEN! .....LE MUTUZ BIMAYEEE....HAHAHAHAAHAHA ....politics ....hahahaha ndugu yangu kwanza pole sana kwa masahibu yaliyokukuta ...NIMEKUSIKIA LOUD AND CLEAR..Kaka yako alitokea Tanzania then akaja kukupokea JFK na kukupeleka Connecticut? ....hahahaha this is the biggest joke of my life .....NILIKUFANYIA WEMA AMBAO SIUJUTII PAMOJA NA KELELE ZAKO ZA MLANGO! ... na pia ungesema yote ya jinsi nilipoenda Kijijini kwa Wazazi wako nilikua nafuata nini wakati mimi na wewe hatuna mahusiano yoyote? AGAIN NILIKUFANYIA WEMA KAMA RAFIKI NA SIUJUTII KWA SABABU YA KELELE ZAKO ZA MLANGO ... ..hahaha...halafu pia ungesema tulipoanzia kukutana kwenye Vita ya Jamiiforums ulipokuwa Mwanasheria wetu si ndiko tulikoanzia mbona hukusema hiyo tulipokua tunapigana kuwatoa ndani jamaa zetu au umesahau kwa sababu ya Politics? .....ni kweli mara ya mwisho tulikutana Ofisini kwa Bosi wako Mbowe ukalalamika sana kwamba mimi ni "MAGAMBA" na hunitaki tena sawa ila haifuti record ya tulikotokea ...MUOGOPE MUNGU KIDOGO hahahaa lakini NIMEKUSOMA ..NAKUOMBEA MUNGU AKUTANGULIE UPONE HARAKA! ...hayo mengine ni Politics as Usual nimekuelewa! - le Mutuz

C&P
Uandishi wa kishoga kabisa huu kwa mwanaume
 
Uongo ukirudi wa sana huwa ukweli
Ni sawa dada,lakin kuna mambo mengine huwa hayajibiwi hata kama ni uongo,Le mutuz ana enjoy kuchokonoa mtu,si umeona picha ile anakula ice cream na mbowe? Ili tu mbowe atengenezewe ajali na kamati kuu yake!pengine walikutana tu kwenye fete,lakini mbowe kimyaaa
 
Kweli risasi sio kitu kizur na sio Salama kwa afya au my b account ya tundu lissu imeingiliwa??

Mbona kajishusha sana kumjibu huyo jamaa alie andika vema kabisaa japo kakosea miaka na jinsia

Huyo nahisi sio tundu lissu nae mwelewa vema
 
Let me cement here with a word of Christ.
'And Jesus will answer them I never knew u'....
 
Alichofanya Lissu ni sawa kabisa. Mtu hawezi kujitangaza ni rafiki yako hadharani na kuandika vitu ambavyo havina ukweli wowote nawe ukae kimya. Si sawa hata kidogo. Kwanini zee zima liandike uongo na kujibaraguza kwamba yeye ni rafiki wa Lissu?

TUNDU LISSU: "LEMUTUZ HUSILAZIMISHE URAFIKI USIOKUWEPO" | Gazeti la Jamhuri

Ila wanasiasa wa bongo bado sana, kwani kuna shida gani mtu wa CDM akawa na urafiki na mtu wa CCM??
Kwann mnalazimisha chuki zisizo na tija na kusahau sote sisi ni taifa moja na siasa sio kabila kusema haibadilishiki.

Alichokifanya Lissu uongo mbaya hakikua fair kabisa nilishtuka nikadhani kuna mtu ame hack account yake, mbona yule jamaa hakusema kwa ubaya why yeye amepanic namna ile kama vile kaambiwa yeye ndio alimuapisha Raila Odinga hahahaha.

Hii mitandao ya kijamii inawapeleka baadhi ya watu vibaya.
 
Le mutuz anapenda tension km iz ili apate traffic ya kutosha kwny blog yake na jnstagram ...na amefanya makusudi akijua matokeo yakeK
 
Sasa hapa Rais wa TLS ana tofauti gani na Sheikh Mkuu wa Dar es salaam? Sheikh Mkuu wa Dar alimjibu Mange Kimambi na Rais wa TLS amemjibu Le Mutuz. Lakini cha kushangaza kuna watu mmemdhihaki Sheikh Mkuu wa Dar kupita maelezo kwa majibu aliyotoa kwa mtesi wake na kumpongeza Mange. Huku nyinyi nyinyi mkimtuliza Rais wa TLS kwa mahaba ya hali ya juu ya kwamba ampuuzie Le Mutuz! Ama kweli!
 
Sikujua kama Tundu Lissu ni very weak kiasi hicho.
Huhitaji kutumia nguvu nyingi kujua Kuwa william na Lissu wanafahamiana,ila Tundu Lissu kwa akili yake kaona akikana itamsaidia kisiasa

Mtaalam wetu, hebu tuambie itakavyo msaidia kisiasa. Kwamba TAL ameshafika bei?? Jamani, mwogopeni Mungu. Ni wapi TAL amesema hamfahamu Lemuntuz?? Soma taratiib utamwelewa wala huna haja ya mtafasiri. Sio ndoto hii.
Lissu hujafanya vibaya kumjibu ila sasa usiendeleze kwani ukioga na nguruwe, kwako tope ni tope ila kwanguruwe, tope ndio maji safi.
Achana na mjinga. Wanyamweri husema; Never argue with a fool.
 
from @lemutuz_superbrand - LE MUTUZ MOBIMBA! .....LE MUTYZ CINTWAYEEN! .....LE MUTUZ BIMAYEEE....HAHAHAHAAHAHA ....politics ....hahahaha ndugu yangu kwanza pole sana kwa masahibu yaliyokukuta ...NIMEKUSIKIA LOUD AND CLEAR..Kaka yako alitokea Tanzania then akaja kukupokea JFK na kukupeleka Connecticut? ....hahahaha this is the biggest joke of my life .....NILIKUFANYIA WEMA AMBAO SIUJUTII PAMOJA NA KELELE ZAKO ZA MLANGO! ... na pia ungesema yote ya jinsi nilipoenda Kijijini kwa Wazazi wako nilikua nafuata nini wakati mimi na wewe hatuna mahusiano yoyote? AGAIN NILIKUFANYIA WEMA KAMA RAFIKI NA SIUJUTII KWA SABABU YA KELELE ZAKO ZA MLANGO ... ..hahaha...halafu pia ungesema tulipoanzia kukutana kwenye Vita ya Jamiiforums ulipokuwa Mwanasheria wetu si ndiko tulikoanzia mbona hukusema hiyo tulipokua tunapigana kuwatoa ndani jamaa zetu au umesahau kwa sababu ya Politics? .....ni kweli mara ya mwisho tulikutana Ofisini kwa Bosi wako Mbowe ukalalamika sana kwamba mimi ni "MAGAMBA" na hunitaki tena sawa ila haifuti record ya tulikotokea ...MUOGOPE MUNGU KIDOGO hahahaa lakini NIMEKUSOMA ..NAKUOMBEA MUNGU AKUTANGULIE UPONE HARAKA! ...hayo mengine ni Politics as Usual nimekuelewa! - le Mutuz

C&P
Ukipewa mwili mkubwa akili amna inakuwa vichekesho.....!!! Lengo la lemtuz nini hasa kwa sasa? .. Mbona akati anapigwa risasi hakutoa pole kama kweli ni rafiki yake ....katumwa sio bure
 
Leo nimecheka sana yaani lemutuz anamuandikia lissu maneno kama mdogo wake wakati huo lissu ana miaka 50+ sijui lemutuz atakuwa na mingapi
Hahaha ..yaani lisu mwenye 49yrs una mlinganisha na le mutuz mwenye 63yrs!..lol
 
Mgonjwa ana gubu la hovyo lisilo na maana, jamaa utadhani kama mtoto mdogo kupinga na kubishana kila kitu. Hakuna risasi iliyoingia kichwani lakini hatumwelewi siku hizi.
 
Ha ha haaaa
Anaogopa kujulikana ni rafiki yake

Alipomtuma Le Mutuz kwa wazazi wake alikuwa adui yake.. ha ha haaaaaa
Lissu anakitu anataka kwenye uongozi Chadema na hao wenzake watadili nae tena hata nukta aone chungu kuidonoa.. mdomo mrefuuuuuuuu huku uongozi hajui kabisaaaa.
Crap
 
Back
Top Bottom