ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Ala bure mahabusu,pesa za nini?..watu waliwaKampeni iliyoanzishwa na wanachama na wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na na Maendeleo (CHADEMA) ya kumchangia Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu ambaye amekuwa kizuizini kwa zaidi ya siku 250 imeendelea kushika kasi na zaidi ya shilingi million 17 imechangwa ndani kwa siku Moja.
Kampeni hiyo iliyopewa jina la "Funga Mwaka na Tundu Lissu" ilianzishwa kwa lengo la kuchangisha fedha takribani shilingi milioni 20 ndani ya masaa 48.
Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa na waanzilishi wa kampeni hiyo akiwemo Edson Mwakalebela(Sativa) na Godilisten Malisa wamthibitisha kupatikana kwa kiasi hicho cha fedha ambazo zimekuwa zikiwekwa katika akaunti za kaka wa Lissu Alute Mughwai Lissu.
Waendeshaji wa michango hiyo wameeleza fedha hizo ni ili kuinysha upendo na kumuunga mkono Lissu lakini pia kuiwezesha familia na wale waoweza kumfikia Lissu gerezani wasikwame kokote katika kumhudumia Lissu.
Godilisten Malisa ameandika “Jana GenZ walipotuambia wanataka kumchangia Lissu 20M kwa masaa 48 tuliona kama wanafanya mzaha. Lakini tukawakubalia. Tukasema hata isipotimia ndani ya masaa 48 basi tutaongeza muda. Tukaongea na mzee Alute (kaka yake Lissu) ili akubali ombi la GenZ apokee michango. Sasa hata masaa 24 hayajaisha tayari mzigo ushasoma 17M. Aisee nimewavulia kofi”.
Baada ya tume kutoa ripoti,atapewa kesi mpyaHivi kesi inaendeleaje?
Hivi kesi inaendeleaje?
Sasa utamfananishaje The Mother of Modern Tanzania na hako kachiba kaongo, kazushi na kenye chuki na watu waliomzidi?!!!..Mama Abduli alikusanya matajiri wakamchangia BILLION 100 ndani ya masaa manne.
Sasa utamfananishaje The Mother of Modern Tanzania na hako kachiba kaongo, kazushi na kenye chuki na watu waliomzidi?!!!
Endeleeni kujifariji haters. Nyie endeleeni kumpigia makofi yule lofa anayeenda mahakamani na gunia lililojaa vitabu kama bwege..huwezi kuwalinganisha Mama Abduli na Baba Agustino.
..mmoja ni akili kubwa mwanazuoni, muandishi, mwalimu, mwingine hata kusoma alichoandikiwa ni mtihani mkubwa.
Endeleeni kujifariji haters. Nyie endeleeni kumpigia makofi yule lofa anayeenda mahakamani na gunia lililojaa vitabu kama bwege
Inamtesa hulka yake ya kutaka sifa za kijinga kutoka kwa malofa...haters ni wale wanaotaka kumfunga TL bila hatia yoyote.
..wana vyeo vikubwa, mali zisizo na hesabu, lakini bado wanajiona wamepungukiwa mbele ya TL, na ndio sababu ya kumtesa.
Hizi taarifa za kuchangia zinapatikana wapi ili na wengine wachangie?Kampeni iliyoanzishwa na wanachama na wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na na Maendeleo (CHADEMA) ya kumchangia Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu ambaye amekuwa kizuizini kwa zaidi ya siku 250 imeendelea kushika kasi na zaidi ya shilingi million 17 imechangwa ndani kwa siku Moja.
Kampeni hiyo iliyopewa jina la "Funga Mwaka na Tundu Lissu" ilianzishwa kwa lengo la kuchangisha fedha takribani shilingi milioni 20 ndani ya masaa 48.
Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa na waanzilishi wa kampeni hiyo akiwemo Edson Mwakalebela(Sativa) na Godilisten Malisa wamthibitisha kupatikana kwa kiasi hicho cha fedha ambazo zimekuwa zikiwekwa katika akaunti za kaka wa Lissu Alute Mughwai Lissu.
Waendeshaji wa michango hiyo wameeleza fedha hizo ni ili kuinysha upendo na kumuunga mkono Lissu lakini pia kuiwezesha familia na wale waoweza kumfikia Lissu gerezani wasikwame kokote katika kumhudumia Lissu.
Godilisten Malisa ameandika “Jana GenZ walipotuambia wanataka kumchangia Lissu 20M kwa masaa 48 tuliona kama wanafanya mzaha. Lakini tukawakubalia. Tukasema hata isipotimia ndani ya masaa 48 basi tutaongeza muda. Tukaongea na mzee Alute (kaka yake Lissu) ili akubali ombi la GenZ apokee michango. Sasa hata masaa 24 hayajaisha tayari mzigo ushasoma 17M. Aisee nimewavulia kofi”.
Hulka ya ulaghai, uongo na uovu inayomhusu Samia Suluhu Hassan ambayo sasa ipo wazi kabisa unaizungumziaje wewe?Inamtesa hulka yake ya kutaka sifa za kijinga kutoka kwa malofa.
Inamtesa hulka yake ya kutaka sifa za kijinga kutoka kwa malofa.