Tundu Lissu achangiwa milioni 17 ndani ya masaa 24

Kwenye namba ya Voda, miamala inarudishwa kwanini?

Nimechangia muda si mrefu, lakini baada kama dakika 3 hivi, hela imerudishwa kwenye Account yangu..

Ndugu Mteja,Muamala wako MP251231.2025.M49580 kwenda Vodacom wa 10,000 umerudishwa. Salio jipya *****692.89

Inawezekana kiwango cha kupokea (limit) katika line hiyo kimefikiwa. Mwambieni Alute Simon Mughway azihamishie kwenye bank Account ili watu watoe pesa kwa Rais na kiongozi wao mpendwa TL..
 
Ala bure mahabusu,pesa za nini?..watu waliwa
Pambana usimalize mwaka na kiwango hiki Cha upambavu

NDugu zake wanaomuhudumia nao wako mahabusu au akaunt zao mmezifungia

Genge la bibi yenu limezima Hadi akaunt za social media maana wanaambulia mawe tu
 
Hivyo mwisho wa siku itakuwaje sasa?Lissu anaendelea kusota mahabusu.🥲
Ndio gharama za kupinga mifumo kandamizi, uzuri hilo analijua na alikuwa tayari kulipa gharma hizo. Kwa kufungwa kwake mabadiliko mengi ya msingi yatatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…