Tundu Lissu adai Mwalimu Nyerere angelaani mauaji ya Gaza, tofauti na ukimya wa viongozi wa Afrika wa miaka hii

Tundu Lissu adai Mwalimu Nyerere angelaani mauaji ya Gaza, tofauti na ukimya wa viongozi wa Afrika wa miaka hii

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
..Lissu ameyasema hayo ktk mhadhara alioutoa Makerere University.

..foreign policy ni moja ya eneo ambalo Tundu Lissu anasema Watanzania tunapaswa kujivunia na kumuenzi Mwalimu Nyerere.

..Lissu ameyasema hayo ktk mhadhara alioutoa Makerere University.

..foreign policy ni moja ya eneo ambalo Tundu Lissu anasema Watanzania tunapaswa kujivunia na kumuenzi Mwalimu Nyerere.
Lisu hajui chochote kuhusu ISRAEL na PALESTINA, anachojua yey ni kutafuta huruma na attention ya majority in order to satisfy human needs
 
Ukishalaani nini tena?

Mchokozi anajulikana

Hivi kweli umejikalia zako afu mtu kutokea tu anakuja UA watu wako hata kama wewe ndo Rais, utaacha lipite tu?
 
..Lissu ameyasema hayo ktk mhadhara alioutoa Makerere University.

..foreign policy ni moja ya eneo ambalo Tundu Lissu anasema Watanzania tunapaswa kujivunia na kumuenzi Mwalimu Nyerere.
Siku hizi wana "Diplomasia ya Uchumi" ambayo imekaa kimaslahi zaidi.

Ndiyo maana hata sehemu za kukemea wanajibalaguza.
 
Israel ni mzaliwa wa kwanza wa Mungu aliye hai.

Amebarikiwa ambarikiye, amelaaniwa amlaaniye,

Lissu ajiangalie.
UNAJUA MAANA YA MAANDKO HAYO?
UNA UHAKIKA ANAYEZUNGUMZWA HAPO NI ISRAELI HUYU MUUAJI?
USIPOTOSHE UMMA KWA KUTUAMINISHA KUWA ISRAELI KUUA NI BARAKA LAKINI KUKEMEA MAUAJI NI LAANA.
nb. mm ni mkristo pure..
 
Walichofanya Hamas halikuwa sawa kabisa ila wanachofanya Zionists kule Gaza ni unyama uliovuka mipaka.
 
Back
Top Bottom