johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Washikaj sana tuKwani Lucas anasemaje kuhusu akina Halima?
Chadema mko hoi kweli, hadi Erythrocyte kachangiwa na Jokate?Kwa mfano Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia alishiriki Birthday ya Mbunge Mstaafu wa Chadema Mbeya Mjini Bilionea Sugu kuna ubaya gani Sugu Kuomba hela ya Kampeni kwa mama
Au pale Kanisani Machame KKKT Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alikabidhi Mchango wa TSH 150 mil za Ujenzi wa Kanisa zilizotolewa na Rais Samia
Au pale Kanisani Rombo KKKT Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe, Halima Mdee,Dr Mwigulu, mbunge Saashisha, mbunge Sanga, mbunge Bulaya kwa Umoja wao walikabidhi Mchango wa Fedha za kumnunulia V 8 Askofu Dr Shoo
Hata pale Kanisani Chamwino Kanisa Moja Takatifu La Mitume Shujaa Magufuli alichangisha Harambee ya Ujenzi wa Msikiti
Mifano ni mingi sana hivyo isiwe Nongwa Leo Wagombea wa Chadema Akina Pambalu kuchangiwa na Marafiki zao wa CCM Akina Jokate
Kifupi Hoja ya Tundu Antipas Lissu haina mashiko kwani hata yeye amewahi kuchangiwa na Marafiki zake kutoka CCM
Jumaa Kareem.
Basi mtashirikianaWashikaj sana tu
Karibu sanaBasi mtashirikiana
Rostam Aziz na Makonda walishatoa mwongozo kuhusu mahakama zetu.Mahakama ni Muhimili unaojitegemea
Acha uongo. Alimtoa mkopo kwa wakati huo. Halafu Lissu alikuwa hajitambui. Unaongea kana kwamba walikubaliana kulipana chopa.Kwa hiyo Tundu Lisu aliyelipiwa Chopa na Mbunge wa CCM ni malaya?
Au Mbowe anayezunguka Makanisani akiwa na Halima Mdee na Esther Bulaya ni Malaya?
Siasa Siyo Uadui tutusa wahed
Acha uongo. Alitoa mkopo kwa wakati huo. Halafu Lissu alikuwa hajitambui kutokana na kupigwa risasi. Unaongea kana kwamba walikubaliana kulipana chopa.Kwa hiyo Tundu Lisu aliyelipiwa Chopa na Mbunge wa CCM ni malaya?
Au Mbowe anayezunguka Makanisani akiwa na Halima Mdee na Esther Bulaya ni Malaya?
Siasa Siyo Uadui tutusa wahed
Halafu baada ya hapo utafaidika Nini?. Mbona CHADEMA haipo bungeni mnahangaika na bunge lisilojitambua.Wewe una hasira na Magufuli kuliko Tundu Antipas Lisu?
Lakini mwenzako alienda kaburini kuweka mauwa ππ₯
Sasa huyu Nchimbi Ndio hatakagi upumbafu Kabisa 2025 hata huyo Aida Kenani harejei Bungeni mtakuwa kama TLP Chama Cha Wanywa Mbege
Siasa ni Sayansi siyo Makasiriko πΌ
Kwa hivyo shida ya Arusha ni Lema? Mnahangaika na mtu Hana madaraka. Nyie wajinga kweli.Subiri Wadudu wamshughulikie Lema 2025 ππ
Kwa hiyo una maana gani hapa?Kwa mfano Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia alishiriki Birthday ya Mbunge Mstaafu wa Chadema Mbeya Mjini Bilionea Sugu kuna ubaya gani Sugu Kuomba hela ya Kampeni kwa mama
Au pale Kanisani Machame KKKT Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alikabidhi Mchango wa TSH 150 mil za Ujenzi wa Kanisa zilizotolewa na Rais Samia
Au pale Kanisani Rombo KKKT Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe, Halima Mdee,Dr Mwigulu, mbunge Saashisha, mbunge Sanga, mbunge Bulaya kwa Umoja wao walikabidhi Mchango wa Fedha za kumnunulia V 8 Askofu Dr Shoo
Hata pale Kanisani Chamwino Kanisa Moja Takatifu La Mitume Shujaa Magufuli alichangisha Harambee ya Ujenzi wa Msikiti
Mifano ni mingi sana hivyo isiwe Nongwa Leo Wagombea wa Chadema Akina Pambalu kuchangiwa na Marafiki zao wa CCM Akina Jokate
Kifupi Hoja ya Tundu Antipas Lissu haina mashiko kwani hata yeye amewahi kuchangiwa na Marafiki zake kutoka CCM
Jumaa Kareem.
Bwashee kumsaidia mtu siyo matangazo nasi Wagalatia tunakielewa hili vizuri sana ππKwa hiyo una maana gani hapa?
Kwamba zile fedha alizozisema Tundu Lissu kule Iringa jana ni mchango wa Rais Samia kwa ajili ya kumsadia mgombea fulani wa CHADEMA ili ashinde..?
Hii michango unayoisema hapa ilitolewa kwa uwazi na kwa kweli haina shida yoyote.
Hii yenyewe huko Iringa imekaaje tena toka CCM kwenda kwa mgombea mmoja au wawili wa CHADEMA.?
Na ni nani huyo na kwanini zitolewe kwa kificho huku mtoaji akijificha mpaka watu wamjue kwa njia zingine za kijasusi?
Vizuri sana kwa kuitunza kumbu kumbu itaisaidia huko mbeleni!Hi hoja ina nguvu sana.Marehemu Sabodo ni CCM,pia alichangia Chadema Milioni nyingi tu.
Wamesahau msigwa ni shemeji yake Magufuli na madawati alichangia ikulu! Picha zipo wakibisha!Kabisa Kabisa bwashee
Shujaa Magufuli alichangia Harambee ya kuwatoa wabunge wa Chadema jela
Sisi sote ni ndugu π