Pre GE2025 Tundu Lissu aelewe Kuchangiana ni Utamaduni wa Watanzania, hata Mbowe alilikabidhi KKKT Machame Mchango wa Tsh. Milioni 150 kutoka kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa mfano Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia alishiriki Birthday ya Mbunge Mstaafu wa Chadema Mbeya Mjini Bilionea Sugu kuna ubaya gani Sugu Kuomba hela ya Kampeni kwa mama

Au pale Kanisani Machame KKKT Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alikabidhi Mchango wa TSH 150 mil za Ujenzi wa Kanisa zilizotolewa na Rais Samia

Au pale Kanisani Rombo KKKT Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe, Halima Mdee,Dr Mwigulu, mbunge Saashisha, mbunge Sanga, mbunge Bulaya kwa Umoja wao walikabidhi Mchango wa Fedha za kumnunulia V 8 Askofu Dr Shoo

Hata pale Kanisani Chamwino Kanisa Moja Takatifu La Mitume Shujaa Magufuli alichangisha Harambee ya Ujenzi wa Msikiti

Mifano ni mingi sana hivyo isiwe Nongwa Leo Wagombea wa Chadema Akina Pambalu kuchangiwa na Marafiki zao wa CCM Akina Jokate

Kifupi Hoja ya Tundu Antipas Lissu haina mashiko kwani hata yeye amewahi kuchangiwa na Marafiki zake kutoka CCM

Jumaa Kareem.
Chadema mko hoi kweli, hadi Erythrocyte kachangiwa na Jokate?
 
Kwa hiyo Tundu Lisu aliyelipiwa Chopa na Mbunge wa CCM ni malaya?

Au Mbowe anayezunguka Makanisani akiwa na Halima Mdee na Esther Bulaya ni Malaya?

Siasa Siyo Uadui tutusa wahed
Acha uongo. Alimtoa mkopo kwa wakati huo. Halafu Lissu alikuwa hajitambui. Unaongea kana kwamba walikubaliana kulipana chopa.
 
Kwa hiyo Tundu Lisu aliyelipiwa Chopa na Mbunge wa CCM ni malaya?

Au Mbowe anayezunguka Makanisani akiwa na Halima Mdee na Esther Bulaya ni Malaya?

Siasa Siyo Uadui tutusa wahed
Acha uongo. Alitoa mkopo kwa wakati huo. Halafu Lissu alikuwa hajitambui kutokana na kupigwa risasi. Unaongea kana kwamba walikubaliana kulipana chopa.
 
Wewe una hasira na Magufuli kuliko Tundu Antipas Lisu?

Lakini mwenzako alienda kaburini kuweka mauwa 😂🔥

Sasa huyu Nchimbi Ndio hatakagi upumbafu Kabisa 2025 hata huyo Aida Kenani harejei Bungeni mtakuwa kama TLP Chama Cha Wanywa Mbege

Siasa ni Sayansi siyo Makasiriko 🐼
Halafu baada ya hapo utafaidika Nini?. Mbona CHADEMA haipo bungeni mnahangaika na bunge lisilojitambua.
 
Kwa mfano Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia alishiriki Birthday ya Mbunge Mstaafu wa Chadema Mbeya Mjini Bilionea Sugu kuna ubaya gani Sugu Kuomba hela ya Kampeni kwa mama

Au pale Kanisani Machame KKKT Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alikabidhi Mchango wa TSH 150 mil za Ujenzi wa Kanisa zilizotolewa na Rais Samia

Au pale Kanisani Rombo KKKT Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe, Halima Mdee,Dr Mwigulu, mbunge Saashisha, mbunge Sanga, mbunge Bulaya kwa Umoja wao walikabidhi Mchango wa Fedha za kumnunulia V 8 Askofu Dr Shoo

Hata pale Kanisani Chamwino Kanisa Moja Takatifu La Mitume Shujaa Magufuli alichangisha Harambee ya Ujenzi wa Msikiti

Mifano ni mingi sana hivyo isiwe Nongwa Leo Wagombea wa Chadema Akina Pambalu kuchangiwa na Marafiki zao wa CCM Akina Jokate

Kifupi Hoja ya Tundu Antipas Lissu haina mashiko kwani hata yeye amewahi kuchangiwa na Marafiki zake kutoka CCM

Jumaa Kareem.
Kwa hiyo una maana gani hapa?

Kwamba zile fedha alizozisema Tundu Lissu kule Iringa jana ni mchango wa Rais Samia kwa ajili ya kumsadia mgombea fulani wa CHADEMA ili ashinde..?

Hii michango unayoisema hapa ilitolewa kwa uwazi na kwa kweli haina shida yoyote.

Hii yenyewe huko Iringa imekaaje tena toka CCM kwenda kwa mgombea mmoja au wawili wa CHADEMA.?

Na ni nani huyo na kwanini zitolewe kwa kificho huku mtoaji akijificha mpaka watu wamjue kwa njia zingine za kijasusi?
 
Bwashee kumsaidia mtu siyo matangazo nasi Wagalatia tunakielewa hili vizuri sana 😄😄
 
Lissu aache kuingilia michakato ya uchaguzi unless ana evidence kuhusu Rushwa kwa alilosema. vinginevyo atapuuzwa Chadema na atapuuzwa CCM na atapuuzwa na wananchi.
 
Back
Top Bottom