Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Leo kapinga vazi la kikamanda..Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amefikishwa tena leo katika Mahakama Kuu, kwa ajili ya usikilizwaji wa mapingamizi katika kesi ya uhaini inayomkabili.
Leo Septemba 9, 2025 ni mara ya pili kwa kiongozi huyo wa CHADEMA kufikishwa mahakamani hapo, baada ya usikilizwaji wa awali uliofanyika jana Jumatatu Septemba 8, 2025.
Aanze kunyongwa mama yakoWrite your reply...anyongwe haini huyu
NoumaLissu namfananisha na kijana mtukutu shule but ana akili sana huwezi kumfukuza shule kijana mtukutu shule wakati unajua kabisa Kwenye mitihani wa Taifa anaweza kuibeba shule
Hivi mkivimbiwa kodi zetu ndo mnavyobinua vijambio vyenu kupumua?Write your reply...anyongwe haini huyu
Ndicho wanachokitaka hicho sio kingine hata Mahakama inataka iwe hivyoWrite your reply...anyongwe haini huyu