Pre GE2025 Tundu Lissu afunguka kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu, asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais, wala mtu kutoka CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameeleza sababu za kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu baada ya kuteua Wajumbe Watano (Godbless Lema, Dr Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salma Kasanzu na Hafidh Saleh), asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais wala mtu kutoka CCM.
😃😃😃😁😁 uongo....
 
Ni Uongo (kwa sauti ya Tundu Lissu)
images - 2024-03-28T101424.595.jpeg
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameeleza sababu za kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu baada ya kuteua Wajumbe Watano (Godbless Lema, Dr Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salma Kasanzu na Hafidh Saleh), asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais wala mtu kutoka CCM.

Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Lissu hakurupuki.....hiyo Nafasi mpaka Intelijensia itakapomaliza Vetting ndipo nafasi itazibwa.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameeleza sababu za kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu baada ya kuteua Wajumbe Watano (Godbless Lema, Dr Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salma Kasanzu na Hafidh Saleh), asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais wala mtu kutoka CCM.

Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Ni Uongo😅😅😅
 
Hii ndio ingekuwa Nafasi ya Kamanda wa Zamani Mohamed Ali Kibao R.I.P
 
mrema hatakiwi kupewa hata kazi ya kufagia tu. John Mrema. mkaanga sumu.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameeleza sababu za kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu baada ya kuteua Wajumbe Watano (Godbless Lema, Dr Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salma Kasanzu na Hafidh Saleh), asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais wala mtu kutoka CCM.

Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
na hiyo nayo ni habari? Katafute habari za maana
 
Slaa anarudi CDM kukoleza moto na hivi mama anamtess slaa na team mwendazake wanampenda slaa na wana hasira na maza
 
Lisu anaweza kutukana na kubeza baaasiii hayamengine mnamuonea tuu!
Hawezi kuongoza watu huyu tundu mitusi
 
Back
Top Bottom