Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
😃😃😃😁😁 uongo....Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameeleza sababu za kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu baada ya kuteua Wajumbe Watano (Godbless Lema, Dr Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salma Kasanzu na Hafidh Saleh), asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais wala mtu kutoka CCM.
😂 acha tusubiri ndio kwanza hata wiki haijafika😃😃😃😁😁 uongo....
Chizi maarifa katoka kwa wapi?Ni Uongo (kwa sauti ya Tundu Lissu)View attachment 3212261
Lissu hakurupuki.....hiyo Nafasi mpaka Intelijensia itakapomaliza Vetting ndipo nafasi itazibwa.Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameeleza sababu za kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu baada ya kuteua Wajumbe Watano (Godbless Lema, Dr Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salma Kasanzu na Hafidh Saleh), asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais wala mtu kutoka CCM.
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Ni Uongo😅😅😅Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameeleza sababu za kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu baada ya kuteua Wajumbe Watano (Godbless Lema, Dr Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salma Kasanzu na Hafidh Saleh), asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais wala mtu kutoka CCM.
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Hii ndio ingekuwa Nafasi ya Kamanda wa Zamani Mohamed Ali Kibao R.I.PMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameeleza sababu za kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu baada ya kuteua Wajumbe Watano (Godbless Lema, Dr Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salma Kasanzu na Hafidh Saleh), asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais wala mtu kutoka CCM.
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
na hiyo nayo ni habari? Katafute habari za maanaMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameeleza sababu za kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu baada ya kuteua Wajumbe Watano (Godbless Lema, Dr Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salma Kasanzu na Hafidh Saleh), asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais wala mtu kutoka CCM.
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Alizoea kubeba maburungutu ya pesa kwenda nayo mikoani na kujikadiria poshomrema hatakiwi kupewa hata kazi ya kufagia tu. John Mrema. mkaanga sumu.
HahahaNi Uongo (kwa sauti ya Tundu Lissu)View attachment 3212261
Angekuwa anatukana mitusi angeshashitakiwa, acha umbea dada!Lisu anaweza kutukana na kubeza baaasiii hayamengine mnamuonea tuu!
Hawezi kuongoza watu huyu tundu mitusi