Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
BILA PICHA NI UZUSHITundu Lisu ni mmoja wa watanzania waliofika Ivory Cost kwa gharama zao binafsi kuishangilia timu ya Taifa. Hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyetumia fedha zake binafsi kwenda kuiunga mkono timu yetu
Akiwa uwanjani ameonekana akivuja jasho kali kwa presha na uchungu kwa timu yetu hadi kufikia kutumia bendera ya Taifa kupunguza jasho usoni.
Viongozi kama hawa ambao kila sekta wanasomeka kuiunga mkono nchi ni wachache kutokea. Tumpe maua yake
Hivi hao wana ujanja wowote nje na kuiba fedha zetu za kodi?Hakuna kiongozi yeyote wa CCM
Garama zao binafsi? Una hakika?Tundu Lisu ni mmoja wa watanzania waliofika Ivory Cost kwa gharama zao binafsi kuishangilia timu ya Taifa. Hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyetumia fedha zake binafsi kwenda kuiunga mkono timu yetu
Akiwa uwanjani ameonekana akivuja jasho kali kwa presha na uchungu kwa timu yetu hadi kufikia kutumia bendera ya Taifa kupunguza jasho usoni.
Viongozi kama hawa ambao kila sekta wanasomeka kuiunga mkono nchi ni wachache kutokea. Tumpe maua yake
Andika Tundu Lissu in Ivory Coast halafu Gugooo..BILA PICHA NI UZUSHI
Kama ni hivyo hapakuwa na haja ya kuleta uzi humu tungeenda kupata taarifa huko huko googleAndika Tundu Lissu in Ivory Coast halafu Gugooo..
kibaraka kupeleka nuksi tu abijanTundu Lissu ni mmoja wa Watanzania waliofika Ivory Cost kwa gharama zao binafsi kuishangilia timu ya Taifa.
Hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyetumia fedha zake binafsi kwenda kuiunga mkono timu yetu
Akiwa uwanjani ameonekana akivuja jasho kali kwa presha na uchungu kwa timu yetu hadi kufikia kutumia bendera ya Taifa kupunguza jasho usoni.
Viongozi kama hawa ambao kila sekta wanasomeka kuiunga mkono nchi ni wachache kutokea. Tumpe maua yake
We ni mpuuzi, yaani Lissu akifanya jambo lake binafsi unalihusisha na Chadema?chadema wasitumie hii michuano kisiasa itawamaliza mazima