Tundu Lissu afuta jasho kwa kutumia bendera ya Taifa uwanjani Ivory Cost; ni Mtanzania anayevuja jasho kwa uzalendo mkubwa

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Tundu Lissu ni mmoja wa Watanzania waliofika Ivory Cost kwa gharama zao binafsi kuishangilia timu ya Taifa.

Hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyetumia fedha zake binafsi kwenda kuiunga mkono timu yetu

Akiwa uwanjani ameonekana akivuja jasho kali kwa presha na uchungu kwa timu yetu hadi kufikia kutumia bendera ya Taifa kupunguza jasho usoni.

Viongozi kama hawa ambao kila sekta wanasomeka kuiunga mkono nchi ni wachache kutokea. Tumpe maua yake
 
Tundu Lisu ni mmoja wa watanzania waliofika Ivory Cost kwa gharama zao binafsi kuishangilia timu ya Taifa. Hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyetumia fedha zake binafsi kwenda kuiunga mkono timu yetu

BILA PICHA NI UZUSHI
 
Chukua maua yako tundu lisu [emoji257]
tanzania-flag.jpg

Mzalendo
 
Tundu Lisu ni mmoja wa watanzania waliofika Ivory Cost kwa gharama zao binafsi kuishangilia timu ya Taifa. Hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyetumia fedha zake binafsi kwenda kuiunga mkono timu yetu

Akiwa uwanjani ameonekana akivuja jasho kali kwa presha na uchungu kwa timu yetu hadi kufikia kutumia bendera ya Taifa kupunguza jasho usoni.

Viongozi kama hawa ambao kila sekta wanasomeka kuiunga mkono nchi ni wachache kutokea. Tumpe maua yake
Garama zao binafsi? Una hakika?
 
Tundu Lissu ni mmoja wa Watanzania waliofika Ivory Cost kwa gharama zao binafsi kuishangilia timu ya Taifa.

Hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyetumia fedha zake binafsi kwenda kuiunga mkono timu yetu

Akiwa uwanjani ameonekana akivuja jasho kali kwa presha na uchungu kwa timu yetu hadi kufikia kutumia bendera ya Taifa kupunguza jasho usoni.

Viongozi kama hawa ambao kila sekta wanasomeka kuiunga mkono nchi ni wachache kutokea. Tumpe maua yake
kibaraka kupeleka nuksi tu abijan
 
Back
Top Bottom