adam kayombo
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 262
- 140
Tundu Lissu agoma kula Tundu Lissu agoma kula - MUUNGWANA BLOG
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Mhe Lissu ameendelea kushikiliwa na Polisi bila kufikishwa mahakamani. Hajafunguliwa mashtaka yeyote hadi sasa na Polisi wameendelea kumkatalia dhamana. Unyanyasaji huu dhidi wa wawakilishi wa wananchi na viongozi wengine wa chama unatia doa kubwa demokrasia katika nchi yetu. Baada ya mashauriano na Mhe Lissu na familia yake, chama kimeridhia na kimeafiki Mhe. Lissu kuanza rasmi mgomo wa kula chochote (hunger strike) hadi hapo atakapofikishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka rasmi" alisema Freeman MboweTundu Lissu agoma kula Tundu Lissu agoma kula - MUUNGWANA BLOG