Tundu Lissu akirudi nchini itakuwa kama George Floyd, Tanzania itazizima

Nilifikiri leo itatamkwa hata nyongeza ya mshahara basi!
 
Ili CDM muonekane bora nawashauri mjitoe uchaguzi ujao. Aibu itawahusu ya kufeli sana.
 
Ili CDM muonekane bora nawashauri mjitoe uchaguzi ujao. Aibu itawahusu ya kufeli sana.
Labda tufelishwe! Pia nafikiri hujui maana ya kufaulu na kufeli ni nini? Kufaulu kwetu ni pamoja na kukamatwa, wekwa ndani, funguliwa kesi, ibiwa matokeo yetu, nunua watu wetu, tishitishia kwa kutumia mapolisi n.k. Hivyo unachofikiri ni kufeli kwetu nakuhakikishia ndiyo kufaulu kwetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…