Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakati joto la uchaguzi likiendelea kufukuta Tanzania, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao hautakuwa wa huru na wa haki.
Akiongea na BBC Swahili, Lissu ametanabaisha kuwa uchaguzi wa 2020 haukuwa wa haki na kwamba pamoja kuwa na dosari zilizojitokeza 2020 hakuna chochote kilichobadilika wakati taifa linajiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Soma pia: Tundu Lissu: Ushindi kupitia uchaguzi huru mwaka 2024 na 2025 ndiyo salama ya Tanzania

Kuna kila za kuonesha kwamba uchaguzi ujao huu wa mwezi wa 11 na ujao uchaguzi mkuu hautakuwa huru, wa haki wala ulio credible zilezile zilizofanya uchaguzi wa nyuma kutokuwa wa haki, huru na zisizokuwa na credibility yoyote
Soma pia: Tundu Lissu: Ushindi kupitia uchaguzi huru mwaka 2024 na 2025 ndiyo salama ya Tanzania