Wakati joto la uchaguzi likiendelea kufukuta Tanzania, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao hautakuwa wa huru na wa haki.
Akiongea na BBC Swahili, Lissu ametanabaisha kuwa uchaguzi wa 2020 haukuwa wa haki na kwamba pamoja kuwa na dosari zilizojitokeza 2020 hakuna chochote kilichobadilika wakati taifa linajiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Kuna kila za kuonesha kwamba uchaguzi ujao huu wa mwezi wa 11 na ujao uchaguzi mkuu hautakuwa huru, wa haki wala ulio credible zilezile zilizofanya uchaguzi wa nyuma kutokuwa wa haki, huru na zisizokuwa na credibility yoyote
Wakati joto la uchaguzi likiendelea kufukuta Tanzania, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao hautakuwa wa huru na wa haki.
Akiongea na BBC Swahili, Lissu ametanabaisha kuwa uchaguzi wa 2020 haukuwa wa haki na kwamba pamoja kuwa na dosari zilizojitokeza 2020 hakuna chochote kilichobadilika wakati taifa linajiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Kwani uchaguzi gani hapa Tanzania uliwahi kuwa huru na haki?
Namshauri Bw. Tundu Lissu na wenzake wengine wa CHADEMA wajikite zaidi kwenye suala la Upatikanaji wa Katiba Mpya iliyo nzuri pamoja na suala la kuondoa Sheria kandamizi zote kabisa zilizopo hapa Tanzania.
NI KWELI,TULISHAMUAMBIA LISU KUWA MBOWE HAWEZI KUTOKA HAPO MADARAKANI HADI KIFO KIMUONDOE,KWAHIYO ASITARAJIE KUWA KUTAKUWA NA UCHAGUZI WA HAKI,HURU NA AMANI HAPO,MWENZAKE MSIGWA KAKIMBIA YEYE ANASUBIRIA NINI??
Wakati joto la uchaguzi likiendelea kufukuta Tanzania, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao hautakuwa wa huru na wa haki.
Akiongea na BBC Swahili, Lissu ametanabaisha kuwa uchaguzi wa 2020 haukuwa wa haki na kwamba pamoja kuwa na dosari zilizojitokeza 2020 hakuna chochote kilichobadilika wakati taifa linajiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Wakati joto la uchaguzi likiendelea kufukuta Tanzania, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao hautakuwa wa huru na wa haki.
Akiongea na BBC Swahili, Lissu ametanabaisha kuwa uchaguzi wa 2020 haukuwa wa haki na kwamba pamoja kuwa na dosari zilizojitokeza 2020 hakuna chochote kilichobadilika wakati taifa linajiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Wakati joto la uchaguzi likiendelea kufukuta Tanzania, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao hautakuwa wa huru na wa haki.
Akiongea na BBC Swahili, Lissu ametanabaisha kuwa uchaguzi wa 2020 haukuwa wa haki na kwamba pamoja kuwa na dosari zilizojitokeza 2020 hakuna chochote kilichobadilika wakati taifa linajiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Tundu ndo katuangusha, aliona wapi nchi ikawa na uchaguzi wa haki? Asijifanye wanaishi kwa ufadhili wa 4Rs. Maana wanaoisho kwa ufadhili wa 4Rs ndo anaogopa kusema wasije wanakataa mikia