Pre GE2025 Tundu Lissu akiwa Mwenyekiti Mpya; Mbowe akawa mshauri wa Chama, Dr. Slaa atarejea CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama.

Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi CCM wanatamani wawe huru kubishana kwenye siasa kama chadema lakini mfumo wao tayari umeondoka kwenye mabishano ya hoja kwenda kwenye upitishaji wa wajumbe na wagombea kwa fikra za mwenyekiti wa mkoa au wilaya

Chadema hakuna aliyekatwa wala kina lake kutokurudi, hakuna siri katika kuhesabu kura wala hakuna matishio yakukataa matokeo kwa sababu hakuna jambo la siri.

Mbowe, Lisu na Dr. Slaa wamefanya kazi kubwa sana kukijenga chama na wameifanya politics ya Chadema ionyeshe mfanano na politics ya ulimwengu wa kwanza.

Je, baada ya uchaguzi unaionaje chadema ikiwa chini ya Lisu na Dr. Slaa ambao maisha yao yote hawana fedha ila wana watu? Je, wasio na fedha watawaunga mkono kuelekea uchaguzi 2025?
 
Mbowe, Lisu na Dr. Slaa wamefanya kazi kubwa sana kukijenga chama na wameifanya politics ya Chadema ionyeshe mfanano na politics ya ulimwengu wa kwanza.💪🏿
 
Baada ya uchaguzi wa CHADEMA kumalizika na kupata viongozi wapya hiyo ni hatua kubwa na ni somo kwa vyama vingine Afrika namna ya kufanya chaguzi za uwazi, uhuru na ukweli. Automatically CHADEMA inaemda kuwa ni ni chama kikubwa chenye nguvu. Kitavutia wananchi wengi kujiunga nacho
 
Ogopa mtu anamiminiwa risasi zote zile bado yuko hai, Mungu ana mpango mwema na Tanzania kumlinda mtu kama huyu na mauti.

......Na ikimpenda yeye aliyemwokoa na umauti amfanye kuwa Rais wa TZ wala si Mwenyekiti wa CDM tu....
 
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama.

Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi CCM wanatamani wawe huru kubishana kwenye siasa kama chadema lakini mfumo wao tayari umeondoka kwenye mabishano ya hoja kwenda kwenye upitishaji wa wajumbe na wagombea kwa fikra za mwenyekiti wa mkoa au wilaya

Chadema hakuna aliyekatwa wala kina lake kutokurudi, hakuna siri katika kuhesabu kura wala hakuna matishio yakukataa matokeo kwa sababu hakuna jambo la siri.

Mbowe, Lisu na Dr. Slaa wamefanya kazi kubwa sana kukijenga chama na wameifanya politics ya Chadema ionyeshe mfanano na politics ya ulimwengu wa kwanza.

Je, baada ya uchaguzi unaionaje chadema ikiwa chini ya Lisu na Dr. Slaa ambao maisha yao yote hawana fedha ila wana watu? Je, wasio na fedha watawaunga mkono kuelekea uchaguzi 2025?
I wish iwe hivi. Tunahitaji upinzani imara sana ili kuleta maendeleo nchini. Lazima kue na mtu wa kutenda na mtu wa kucheki utendaji, hapo kama taifa tutafikia kweli ndoto ya nchi ya ahadi. Kua na fikra za kufanana kama taifa ni hatari sana.
 
Let's say, chadema wakafanya uchaguzi wao fair na kupata viongozi wao wapya na mbowe akakubali kushindwa. Ukaja uchaguzi mkuu samia naye akakubali kushindwa kwenye sanduku la kura. Wanasiasa hawa mbowe na samia watastahili kutunukiwa nishani za umahiri wa kisiasa kwa namna walivyoleta mabadiliko ya kisiasa nchini watatukuzwa daima
 
Lema kasema kwamba Lissu na Heche akishindwa watalianzisha.

Katibu Mkuu wa CDM kuweni makini sana na kauli hizi.
 
Back
Top Bottom