johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unajua dhana ya Uchawa imejikita kwenye Ulimwengu wa roho ndio sababu utakuta kapuku mmoja wahed kabisa anamuendesha na kumpangia mambo ya kufanya kiongozi mkubwa
Uchawa umejikita kwenye nguvu za Giza na Ulozi ndio sababu utakuta Viongozi Wetu wanafanya mambo ya ajabu ajabu hadi aibu tunaona sisi
Sasa Tundu Lisu akiingia kwenye Uongozi wa juu wa Siasa za nchi yetu atakuwa kama Nuru katikati ya Giza Nene na hapo ndipo Viongozi Wote wa CCM na Upinzani watafunuliwa katika Ulimwengu wa roho kwamba CHAWA binadamu siyo viumbe wazuri kabisa
Mtazame Freeman alivyozungukwa na CHAWA amesahau kabisa kuwa alienda kumchukua Zitto Kabwe pale The Hill akiwa Kijana mdogo kabisa anayevaa kandambili Lakini Leo Zitto Kabwe siyo kaunda Chama tu bali kaunda hadi Serikali na ana Wabunge wengi wa kuchaguliwa kuliko Chadema na ameshastaafu ila Mbowe bado anagombea Uongozi na akina John Pambalu
Machawa ni Warogaji sana kama alivyosema yule Bashite
Baadaye Mlale Unono 😀
PIA SOMA
- Lissu akiwa mwenyekiti wa CHADEMA atahujumiwa sana na hatafanikiwa chochote, lakini pia akiwa mgombea urais wa CHADEMA atahujumiwa na atapata aibu