Tundu Lissu akizungumzia haki Tanzania

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
#TANZANIA:TUNDU LISSU:KWENYE NCHI HII HAKUNA HAKI MAHALI POPOTE
“Nchi hii haina haki mamilioni ya wananchi hawatendewi haki, kwenye vituo vya polisi hakuna haki, kwenye mahakama zetu hakuna haki, Hospitalini hakuna haki, kwenye taasisi za elimu hakuna haki, nchi hii hakuna haki mahali popote na yote ni kwa sababu tunatawaliwa na watu ambao wako madarakani kwa sababu tu ndio wanaoamua kura ya nani ihesabike na ya nani isihesabike” - @TunduALissu , Mwenyekiti wa Chadema Taifa
 

Attachments

  • images.jpeg
    31.2 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…