Huyu mtu ni wa kutokea andromeda yeye na Lema wake. Kwenye clip hiyo hata Heche alitoa macho…
Watu wanamtaka Halafu watawala wanamfanyia mtimanyongo- muda si mrefu watabadirishana makazi. Katuga na jopo lake kaeni chonjo… Zamu yenu iko mbio sana.

His words were so powerful that masela wake walikua hawaamini katika njia anayotaka kuwapitisha, but ili thamani ya dhahabu ionekane lazima ipitie tanuru la moto ,. Wachache tutakufa ndio, lakini uhuru wetu utapatikana tu