johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbowe anataka kutupiga kamba zake za kikonyagi konyagi anafikiri wote walevi kama yeyeNaelewa itifaki ya Makazi ya viongozi ilivyo ndio sababu nashindwa kuelewa utaratibu gani hutumika Kiongozi kumuachia Mtu Mwingine asiyestahili Kuishi nyumba ya Serikali Kwa Dhamana yake
Nyumba za Viongozi wa Serikali ni tofauti kabisa na upangaji wa nyumba za National Housing
Ni kweli Mbowe Ndiye alimpa Tundu Lisu nyumba au ni Bunge lenyewe ndio liliamua Mnadhimu wa Serikali aishi pale kwa sababu KUB ana Makazi binafsi ya kudumu
Nimekaa pale kuelimishwa 🐼
Kwahiyo ni obvious 😂😂Upinzani Ndio wanatoa jina. Baada ya Mbiwe aliyekuwa anafuata ni Tundu Lissu.
Mbowe alikuwa na makazi yake binafsi ya kuishi hivyo akaridhia hiyo nyumba iksluwe na mnadhimu wa chama.
Huu ni utaratibu wa kawaida wala haikuwa favour ya kuiongelea sasa.
Kama mimi lissu ningalimuheshimu Mbowe kama baba yangu, kitendo cha kumnusuru maisha yake ni tosha kumuheshimuSafari hii watasema kila kitu.
Akikusikia Shehe wako Ponda ata😂😂 sanaKama mimi lissu ningalimuheshimu Mbowe kama baba yangu, kitendo cha kumnusuru maisha yake ni tosha kumuheshimu
Halafu mod weye mdini sanaAkikusikia Shehe wako Ponda ata😂😂 sana
Huu nj mjadala wa kipuuzi tu, hata asingepewa aishi alikuwa na uwezo kujipangia nyumba, nyumbu wote mnaojadili makazi hata kuku ana makaziNaelewa itifaki ya Makazi ya viongozi ilivyo ndio sababu nashindwa kuelewa utaratibu gani hutumika Kiongozi kumuachia Mtu Mwingine asiyestahili Kuishi nyumba ya Serikali Kwa Dhamana yake
Nyumba za Viongozi wa Serikali ni tofauti kabisa na upangaji wa nyumba za National Housing
Ni kweli Mbowe Ndiye alimpa Tundu Lisu nyumba au ni Bunge lenyewe ndio liliamua Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani aishi pale kwa sababu KUB ana Makazi binafsi ya kudumu ?
Nimekaa pale kuelimishwa 🐼
Hata Jiwe aligawa mijumba ya serikali kama njugu kwa mahawala yake ...hii nchi ngumu kuielewaNaelewa itifaki ya Makazi ya viongozi ilivyo ndio sababu nashindwa kuelewa utaratibu gani hutumika Kiongozi kumuachia Mtu Mwingine asiyestahili Kuishi nyumba ya Serikali Kwa Dhamana yake
Nyumba za Viongozi wa Serikali ni tofauti kabisa na upangaji wa nyumba za National Housing
Ni kweli Mbowe Ndiye alimpa Tundu Lisu nyumba au ni Bunge lenyewe ndio liliamua Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani aishi pale kwa sababu KUB ana Makazi binafsi ya kudumu ?
Nimekaa pale kuelimishwa 🐼
Angekuwa na Uwezo Mbowe asingemsaidia 🐼Huu nj mjadala wa kipuuzi tu, hata asingepewa aishi alikuwa na uwezo kujipangia nyumba, nyumbu wote mnaojadili makazi hata kuku ana makazi
Acha ufala JoniAngekuwa na Uwezo Mbowe asingemsaidia 🐼
Alishampa hiyo heshima na Akasema hatogombeaKama mimi lissu ningalimuheshimu Mbowe kama baba yangu, kitendo cha kumnusuru maisha yake ni tosha kumuheshimu
😂😂Acha ufala Joni
Naelewa itifaki ya Makazi ya viongozi ilivyo ndio sababu nashindwa kuelewa utaratibu gani hutumika Kiongozi kumuachia Mtu Mwingine asiyestahili Kuishi nyumba ya Serikali Kwa Dhamana yake
Nyumba za Viongozi wa Serikali ni tofauti kabisa na upangaji wa nyumba za National Housing
Ni kweli Mbowe Ndiye alimpa Tundu Lisu nyumba au ni Bunge lenyewe ndio liliamua Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani aishi pale kwa sababu KUB ana Makazi binafsi ya kudumu ?
Nimekaa pale kuelimishwa [emoji209]