Tundu Lissu aliruhusiwa na Mbowe au na Bunge kuishi kwenye nyumba ya Serikali iliyotengwa maalum kwa ajili ya KUB!

kama unaekewa itifaki ilivyo sasa unataka sisi tusiojua itifaki tukusaidieje
 
Siasa siku zote haina rafiki au Adui wa kadumu na hakana kumwamini mwana siasa hata nukta moja... maana siasa si sera wala katiba..


Hivyo scene inayo endelea ni kama script ambayo mwisho wa siku plan will be accomplished..
Stay tuned....
 
ni kama unataka kuachana na demu halafu umwambie unajua kuna simu na chupi nilikununuliašŸ¤”
Kwa hio kabla hatujaachana hakikisha ile simu na zile chupi nilizokununulia ukavaa nikawa nakuvua kila wakati unazirudisha kwanza ndio uende kwa huyo anaeenda kukusukumia muwa
 
Ndio maana mimi kamwe sikubari kusaidiwa kindezi mtu anakupa tafu akitegemea baadae aje aseme nilimpa hiki na hiki huo ni undezi wana sio wana umemtoa kishikaji mambo yakiwa out of boundaries kausha usianze ngebe acha watu wengine wakusemee usiseme wewe km wewe haikai poa hio hata kidogo as a matter of fact wote hawapo sahihi ila la kusema nilimpa hiki na hiki sija-support na si-support
 
Sawa mkuu,

Ni life cycle tu.... Hiii huwa inajirudia ... Life is marathon not a sprint.
 
Kwa hio kabla hatujaachana hakikisha ile simu na zile chupi nilizokununulia ukavaa nikawa nakuvua kila wakati unazirudisha kwanza ndio uende kwa huyo anaeenda kukusukumia muwa
Hii msg mtumie demu wako, kabla ya kukuweka ignore list ya maisha wewe kijana mjinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…