Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aliwahi kuisaidia nini Tanzania? Mwenye uelewa atuelezee

Kamuulize babako
 
Mbona husemi kuwa walioingoza TZ kuanzia awamu ya 2 hadi ya 5 waliiba nn?

Wewe sio mzima kichwani bila shaka unatokea Geita wewe kapuku.
 
Kennedy si beberu mzee mfano wake wa nini?

Magufuli kabla hajaingia siasani kaisaidia nini Tanzania?

Lissu kawasaidia Wananchi waliokuwa Wanaonewa na wawekezaji waishio pembeni mwa migodi
 
Wewe mbumbumbu ebu ficha ujuha wako kidogo huyo magufuli akipeleke uchumi wa juu kivipi? Kwani maendeleo anayaleta kwa pesa zake binafsi? au kwa pesa za walipa kodi?
 
Iv ww mtoa post elimu yako umeixhia daraxa la kwanza ua lapil?nlitakatu kujua kwan alie maliza xhule ya mxingi hawezi uliza xwali la aina hiyo
 
Kutetea mabeberu watushitaki kwenye mahakama za kimataifa
CCM wakienda kuomba omba misaada kwa wazungu huwaita wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike
 

Jk alikuwa amewahi kuifanyia nn Tanzania kabla ajaomba kuwa Rais?
 
John Kennedy wa marekani anahusika vipi kwenye huu uzi? Nilidhani utaelezea marais wastaafu na huyu aliepo madarakani tujue walitufanyia nini kabla hawajashika nafasi ya Urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…