Tetesi: Tundu Lissu amefanya kazi kubwa huko Ulaya, Mdee na wenzake wakalia kuti kavu Chadema kupeleka orodha mpya NEC ili tuendelee kufaidika!

Kwahiyo wakipeleka orodha mpya yale malalamiko yao kuhusu uchaguzi yatakuwa yametatuliwa?
Wee vipi weweeee! Ile kufa tu MWENDAZAKE,tayari MALALAMIKO kwishaaaa!
Nchi imeanza upyaa! We mwenyewe unaona ENZI MPYA! Ubelgiji, Ufaransa, USA wanamjua Rais wetu, kwa kumuona live! Kabla ya mageuzi haya, walikuwa wanamjua?
 
Kazi kubwa gani John the Baptist,ya kuhamasisha ushoga!!!Acheni kusifia uovu jamani.And then,Ulaya kunakuhusu nini wewe,nilidhani kafanya kazi kubwa Tanzania,au angalau Africa,Ulaya!!!!!!!
Hamasa yake ilikuhamasisha ukahamasika!!???
 
nyambafu we unajua kitu ilikuwa inaitwa Langata social, hall, YMCA, Mbowe Club, Pool side au ndo umekuta Club billicanas..... watu tupo kitambo usione tupo na Mbowe tunajua struggle zake since then!!!!!
Hahahaaaa.. .....Kamanda Mrangi akikusoma atakucheka sana !
 
Hujui wakubwa wako wapi?

Ukiwa mwanasiasa lazima uwe mtafiti vinginevyo utazeekea hapo hapo uvccm ukiwashangilia Katambi na Silinde.
Kwani ulishatoka uvccm, upo kundi la wazee Sasa au bado unawashangilia uliowataja(wahamiaji wa kijani fc)
 
Hujui wanywa pombe ndio wachangiaji wakubwa wa kodi inayokusanywa na GoT!!!???
Tuheshimiwe,tutambuliwe,tusajiliwe na tuwe na muwakilishi wetu mahususi huko "bongeni mazuzuni".
Kwakuwa ni mlakodi Hana muda wakufuatilia zinakotokađź’°đź’°.
 
Huu U H A R O kawasimulie wenzio kwenye zile korido za ofisi ndogo ya Makao Makuu
 
Hebu weka nyama zaidi...

 
Ila mwanaume kuwa mmbeya huwa haipendezi.
 
Wee vipi weweeee! Ile kufa tu MWENDAZAKE,tayari MALALAMIKO kwishaaaa!
Nchi imeanza upyaa! We mwenyewe unaona ENZI MPYA! Ubelgiji, Ufaransa, USA wanamjua Rais wetu, kwa kumuona live! Kabla ya mageuzi haya, walikuwa wanamjua?
Hata gaidi nae ameacha kualalamika?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Covid 19 wamepoteza credibility kabisa. Waombe hifadhi/kujisitiri chama kikongwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…