Tetesi: Tundu Lissu amefanya kazi kubwa huko Ulaya, Mdee na wenzake wakalia kuti kavu Chadema kupeleka orodha mpya NEC ili tuendelee kufaidika!

Sijaelewa Kuna uhusiano gani kati ya tundu kukaa ulaya na chadema kupeleka orodha ya viti maalum?
Anaandika 2in1 story kama zile ziandikwazo na udaku medias habari mbili kwa mpigo, yaani heading na body havina uhusiano.

Uhandishi huu ni kwa ajili ya magazine na social media za udaku ili kuvutia wasomaji, ukifungua tu umeliwa na jamaa anakuwa kapata dollars zake 🤣, bahati mbaya JF hakuna malipo 😂.
 
Endelea kukariri.

Wewe unaamini kweli Mbowe na makomandoo hawajala kwa miezi 5?

Siasa ni zaidi ya kuchagua na kuchaguliwa meku!
 
Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.

Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.

Mengine yatawajia.

Hii ni pati gazeti..... Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!

Nilitaka kushangaa nyie si mlisema uchaguzi haukuwa huru so hamtaki zile nafasi

Kumbe ni because wake zenu na madem wa viongozi hawakuwepo so now ndio mmeamka usingizini
 
Haukuwa huru ndio
 
Nilitaka kushangaa nyie si mlisema uchaguzi haukuwa huru so hamtaki zile nafasi

Kumbe ni because wake zenu na madem wa viongozi hawakuwepo so now ndio mmeamka usingizini
Hii iko kimataifa zaidi.

Hata akina Halima ni mademu wa watu vile vile na ndio maana vimewekwa viti maalumu!
 
Back
Top Bottom