TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Anaandika 2in1 story kama zile ziandikwazo na udaku medias habari mbili kwa mpigo, yaani heading na body havina uhusiano.Sijaelewa Kuna uhusiano gani kati ya tundu kukaa ulaya na chadema kupeleka orodha ya viti maalum?
Uhandishi huu ni kwa ajili ya magazine na social media za udaku ili kuvutia wasomaji, ukifungua tu umeliwa na jamaa anakuwa kapata dollars zake 🤣, bahati mbaya JF hakuna malipo 😂.