Ushoga tena.Kazi kubwa gani John the Baptist,ya kuhamasisha ushoga!!!Acheni kusifia uovu jamani.And then,Ulaya kunakuhusu nini wewe,nilidhani kafanya kazi kubwa Tanzania,au angalau Africa,Ulaya!!!!!!!
Umezoea kukalia dushe huko lumumba??Wewe umekalia mtambo!
Umekalia mtambo!Umezoea kukalia dushe huko lumumba??
Do you think and/or believe otherwise?Yanatoka moyoni mwako hayo? Au ndio yowe mnazolishana huko kijani?
Yea, I am.Do you think and/or believe otherwise?
Endelea kusubiri meli airport
Wafadhili wa nini hasa?Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.
Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.
Mengine yatawajia.
Hii ni pati gazeti.
Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!
Wafadhili wa Ile iliyosingiziwa kuwa ni donner countryWafadhili wa nini hasa?
Huyu Ndumilakuwili Wa Lumumba Haaminiki Pia HataeleweekaAlielewa anisaidie kuelewa
Ndumila kuwili kweli kweli sijawahi mwelewa, maneno na hoja ni mithili ya rangi ya kinyonga. Huyu bila shaka atakuwa anarejesha Kwa watawala Tena kijani na sii kwa jamii kama ndugu yetu P aliyeamua kurejesha Kwa jamii.Huyu Ndumilakuwili Wa Lumumba Haaminiki Pia Hataeleweeka
LISSU ni chaguo lakoInasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.
Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.
Mengine yatawajia.
Hii ni pati gazeti.
Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!
Tundu Lissu kukaa kwake ulaya kote mwisho amerudi pale pale kwa chief hangaya kwa kumpigia magoti na shida zake zote yakiwemo marupu rupu yake ya kufukuzwa ubunge pamoja na matibabu., chadema hawajuwi siasa wako ovyo sana, chadema ni failed political partyInasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.
Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.
Mengine yatawajia.
Hii ni pati gazeti.
Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!
Hahahaaaa........ Wanasiasa ni wafanyabiashara!Tundu Lissu kukaa kwake ulaya kote mwisho amerudi pale pale kwa chief hangaya kwa kumpigia magoti na shida zake zote yakiwemo marupu rupu yake ya kufukuzwa ubunge pamoja na matibabu., chadema hawajuwi siasa wako ovyo sana, chadema ni failed political party