Tetesi: Tundu Lissu amefanya kazi kubwa huko Ulaya, Mdee na wenzake wakalia kuti kavu Chadema kupeleka orodha mpya NEC ili tuendelee kufaidika!

Kazi kubwa gani John the Baptist,ya kuhamasisha ushoga!!!Acheni kusifia uovu jamani.And then,Ulaya kunakuhusu nini wewe,nilidhani kafanya kazi kubwa Tanzania,au angalau Africa,Ulaya!!!!!!!
Ushoga tena.
JamiiForums1999776609_240x320.jpg
 
Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.

Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.

Mengine yatawajia.

Hii ni pati gazeti.

Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!
Wafadhili wa nini hasa?
 
Huyu Ndumilakuwili Wa Lumumba Haaminiki Pia Hataeleweeka
Ndumila kuwili kweli kweli sijawahi mwelewa, maneno na hoja ni mithili ya rangi ya kinyonga. Huyu bila shaka atakuwa anarejesha Kwa watawala Tena kijani na sii kwa jamii kama ndugu yetu P aliyeamua kurejesha Kwa jamii.
 
Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.

Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.

Mengine yatawajia.

Hii ni pati gazeti.

Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!
LISSU ni chaguo lako
 
Tundu Lissu kukaa kwake ulaya kote mwisho amerudi pale pale kwa chief hangaya kwa kumpigia magoti na shida zake zote yakiwemo marupu rupu yake ya kufukuzwa ubunge pamoja na matibabu., chadema hawajuwi siasa wako ovyo sana, chadema ni failed political party
 
Hahahaaaa........ Wanasiasa ni wafanyabiashara!
 
Back
Top Bottom