Tetesi: Tundu Lissu amefanya kazi kubwa huko Ulaya, Mdee na wenzake wakalia kuti kavu Chadema kupeleka orodha mpya NEC ili tuendelee kufaidika!

Tetesi: Tundu Lissu amefanya kazi kubwa huko Ulaya, Mdee na wenzake wakalia kuti kavu Chadema kupeleka orodha mpya NEC ili tuendelee kufaidika!

Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.

Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.

Mengine yatawajia.

Hii ni pati gazeti.

Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!
Labda wabunge toka bububu na jambiani
 
Ndo watakuwa wamejimaliza, kwa sababu watakuwa wamekubali kwamba uchaguzi ulikuwa halali. Such a big technical mistake!
Mkuu bado wataendelea kuwa katika nafasi yao ileile wakati roho zao zimefarijika kuwakilishwa na COVID 19 walioteuliwa kihalali na CHAMA kwa maana na Viongozi halali wa CHADEMA
 
Mamamamamamaeeee [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] umeyataka mwenyewe mzee wa konspirasiz Mathanzua
Hivi huyo unamuona zimo kweli,hayo ni matokeo ya kuvuta bangi.Na unajua nini,kakamatwa babaya,anapumua baada ya kuambiwa bosi wake anatetea mashoga Ulaya.
 
Alielewa anisaidie kuelewa
Sijaelewa kitu, chumvi nyingi, kwamba mtu akae ulaya kimkakati wakati kilichompeleka ni kupigwa marisasi, Bado akamaliza kampeni, tuliona alikaa ubalozin mpaka alipo ondoka chin ya BALOZI,

Jf ina watu aisee
 
Hadi sasa bado hujaelewa?

Basi hujui siasa hapo uvcvm upo kichawa chawa tu!
 
Hadi sasa bado hujaelewa?

Basi hujui siasa hapo uvcvm upo kichawa chawa tu!
Huwezi kuja na propaganda mfu ukafaulu , sawa CCm kindakindaki, Mambo ya Chadema kaa mbali nayo, baki na mwaccm mwenzako mzee Mgaya, unanipenda chadema isiokupenda, na kuja na vihabari vyako vya kuota
 
Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.

Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.

Mengine yatawajia.

Hii ni pati gazeti.

Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!
Kipindi unaandika huo uzi ulikalia kitu chenye ncha??
 
Mdee na wenzie watadunda bungeni mpaka 2025 kwa sababu viongozi wa CHADEMA kwa sababu wanazozijua wao, wamegoma/wanaogopa kuitisha baraza kuu
Yanatoka moyoni mwako hayo? Au ndio yowe mnazolishana huko kijani?
 
Alielewa anisaidie kuelewa
JK alisema "ukitaka kula lazima na wewe uliwe" Lazima ufahamu kuwa wakati mwingine ili upate kitu lazima na wewe ukose kitu. Serikali inahitaji misaada ya kimataifa kama sikosei pesa za World Bank zina masharti kuwa Kamati za Bunge kama ile ya Fedha na Mashirika ya Umma and the like, Wenyeviti wake lazima wawe wanatoka upinzani and so wale Covid 19 wakiondolewa maana yake serikali izikose hizo pesa (Hawa kuwaza vizuri wakati wanaharibu uchaguzi kwa kutaka viti vyote vya bunge na ndiyo maana ya kufanya figisu ya kuingiza hao Covid 19 na kuendelea kutetea uwepo wao hata kama hawana vyama kama sheria inavyotaka baada ya kufukuzwa).

Hivyo CCM wanaweza kutaka wabunge wa upinzani wawepo bungeni ili kushika nafasi hizo za Kamati za Bunge ili wasikose pesa ya msaada na kuwaambia CDM waingize wabunge wengine (siyo Covid 19) na masharti mengine yawezekana kama yalivyoombwa na Lissu yakakubaliwa mazima (in whole) au kwa kwa kiasi. CCM watapata na kupoteza na CDM lazima wakubali kwani haiwezekani kupata vyote kama wanvyotamani hata kama uchaguzi ulichafuliwa na hawakutambua matokeo yake. Hata hivyo aliyechafua uchaguzi hayupo sasa hivyo ni vizuri kutafuta maridhiano na mapatano kwa ajili ya nchi na kwa ajili ya baadaye.
 
Back
Top Bottom