Tundu Lissu amekanusha kuwa akaunti ya Twitter inayoonyesha kuzungumzia wimbo wa Ali Kiba sio ya kwake

daaa!!!! huyu jamaa ni mwongo kupita maelezo. sijui hapo katumia akaunti ya whatsapp??
 
Lissu hapo tu ndiyo huwa ananiacha hoi. Ana akaunti mbili za twitter kila moja inamkana mwingine. Halafu ana akaunti ya ya insta ambayo alishaikana, cha kushangaza ile akaunti ya insta inazikana zile za twitter.

Ipo siku ataikana namba yake ya simu au akaunti ya jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli hata mimi nashindwa kumuelewa..maana siku moja alitumia account ya Twitter kuikana mojawapo ya account iliyojifanya kama yake..

Leo ile iliyotumika kuikana mojawapo, na yenyewe imekanwa na ya huko instagram..

Kiongozi mkubwa kama Lissu kushindwa kuverify accounts zake katika mitandao ya kijamii ni jambo la kushangaza mno!!
 
Kilaza ni wewe unayedhani watu wote wanauelewa kama wakwako. Wapi imeandikwa hii ni Instagram, wapi aliposema yeye an account Instagram tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ame screenshot hiyo picha ya jina la account ya twitter na kuipost instagram, sijajua hata umembishia jamaa kwa sababu gani!
 
Hili jukwaa la malomboso kujifanya jukwaa la elimu wenye upeo humu na elimu tupo wachache sana aiseee...
 

Imejibiwa insta babu acha kupotosha
 
Ukweli huchele

Ukweli huchelewa kufika lakini hudumu daima,ZILIPENDWA KILA KONA,seduce DAY5 LEO lakini haijulikani imepitelea wap


MANGE KAWAINGIZA CHAKA TEAM KIBAKULI NA HATERS WENZAKE
Wapi mtaani kwenu au kila mahali???
 
Hii ni account ya Mkewe Lissu ambayo hata Lissu mwenyewe pia anaitumia kupost upuuzi wake kuwasema washikaji zake.
 
sasa mbona Kibakuli alishatoa asante kwa Tundu Lissu

G.O.M.D
 
Mkuu heshima yako,
Naomba unisaidie, kati ya hizo mbili ipi ni meseji halisi ya Lissu?
 
Kilaza ni wewe unayedhani watu wote wanauelewa kama wakwako. Wapi imeandikwa hii ni Instagram, wapi aliposema yeye an account Instagram tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudhihirishia UMMA kuwa bado ujaelewa kwa kumtusi aliye kuelimisha Black fire
Kama kusoma umeshindwa basi angalia picha... Screen shot ya tweeter na Instagram izoo...
Na mhusika kajibia instagram kwa kuweka ile screen shot ya tweeter...

Alipoipatia usije kuuliza maana ndo unapoelekea

Shame on you Wissman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…