Sijamuelewa hapa aliposema kuwa hana account yeyote Facebook au tweeter na wakati huo ametumia tweeter kujibu tuhuma
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122] [emoji122] [emoji120]Katumia account ya instagram kukanusha hio screenshoot kuna mtu kaiweka twitter ikitokea insta
Katumia Instagram kujibu na wala si tweeter kama ww ulivyosemaFake account halafu huyo mwenyewe mwenye hiyo account ni zuzu+, account name @Tundulissu, aliyecoment @Tundulissutz kisha anajidefend kwa kusema sina account Twitter wala Facebook na wakati huohuo katumia account ya Twitter kureply.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua icon za insta kweli?Fake account halafu huyo mwenyewe mwenye hiyo account ni zuzu+, account name @Tundulissu, aliyecoment @Tundulissutz kisha anajidefend kwa kusema sina account Twitter wala Facebook na wakati huohuo katumia account ya Twitter kureply.
Sent using Jamii Forums mobile app
hatariiFake account halafu huyo mwenyewe mwenye hiyo account ni zuzu+, account name @Tundulissu, aliyecoment @Tundulissutz kisha anajidefend kwa kusema sina account Twitter wala Facebook na wakati huohuo katumia account ya Twitter kureply.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kutofautisha page za tweeter na Instagram?unadhani watu wote wanauelewa kama wa kwako. Wapi imeandikwa hii ni Instagram, wapi aliposema yeye an account Instagram tuu
Sent using Jamii Forums mobile app