IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Mkuu nina hasira sana!Lissu nae pumbavu tuu kila siku the Hague, ICC, Amsterdam! Hili jitu tumwa la mawazo linawaza kitumwa tumwa kila siku. Lunaabudu wazungu badala ya kuwaza utanzania na nchi yetu linawaza ulaya tuu.
Na hiyo Dec 18 aliyosema anaenda ubelgiji ifike aende zake haraka pumbafff.
Lisu asifikiri yeye tu ana washabiki. Mwambieni hata Magu ana washabiki kwa hiyo Lisu akileta nyoko tutamfuata aliko.