Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amekutana na Waandishi wa habari kuelezea mwenendo wa kampeni. Asema Jaribio la kuvuruga Uchaguzi litasababisha watu wapelekwe 'The Hague'

Mkuu nina hasira sana!

Lisu asifikiri yeye tu ana washabiki. Mwambieni hata Magu ana washabiki kwa hiyo Lisu akileta nyoko tutamfuata aliko.
 
Sasa sio "MIGA" tena tumeamia"The Hague" atafute kura aachane na vitisho, ICC haihusiki na mambo ya Uchaguzi au civil cases.

Kama anatarajia Kuwa kuna watu watauawa kwa yeye mwenyewe kuhamasisha yatu wafanye vurugu au ku-stage false flag attacks basi na yeye pia The Hague itamhusu, asisahau Rwanda jamaa walipelekwa ICC ni watt wa aina yake. Kule Kenya hata Ruto na Uhuru Kenya pia walipelekwa ICC.

Watu wengine wanafurahisha sana.
 
Liuisu ungekua unajiamini usingekua uanabwabwa ungeenda nao kimya kimya ili mwisho wa siku waingie kwenye 18 ila hata kama ni kweli kubwabwaja kwako unafanya mtu ajipange na yeye hatafanya uzembe kwa hio kitalaam hio tunaita mikwara ...

Lisu utakachokutana nacho hutaamini utabaki kupiga kelele hivo hivo bila mafanikio.

Hv kwa akili zako tu unafikir ni rahisi kukuachia Nchi kwa mikwara yako tu ???
 
Tatizo lipo kwetu sisi wa afrika.

Ukimpa mtu uongozi anataka atawale milele na kuumiza wenzake

Bado kujilimbikizia mimali mingi.

Kwakifupi naunga mkono wazungu kututhibiti.

Sisi ni kizazi cha laana Africa.
Ndo maana mnajipendekeza kwa Amsterdam mzungu? Halafu unajilaani kwa kuwa mwafrika? Kweli umelaaniwa kisa mwafrika haya endeleeni kulamba hao wazungu.
 
Mkuu Lisu hapati zaidi 20% sababu Amsterdam ndio kazidi kumharibia kwamba kumbe hatumchagui Lisu ila amsterdam.

Lisu hapati kura ajiandae tu kurudi ubelgiji
 
Sio kwa kura, hilo daftari la wapiga kura mmelichezea ili mpate ushindi wa wizi mmechemsha. Halafu Zec bila aibu wanasema eti watu hawajaenda kuhakiki taarifa!
Kwa hiyo kama daftari wamechezea na unasema wamechemsha, kwmaba daftari kimerekebishwa?
 
Mkuu Lisu hapati zaidi 20% sababu Amsterdam ndio kazidi kumharibia kwamba kumbe hatumchagui Lisu ila amsterdam.

Lisu hapati kura ajiandae tu kurudi ubelgiji
Why mnachezea daftari la kura,mnawatumia police kuomba msaada
 
Kwa hiyo kama daftari wamechezea na unasema wamechemsha, kwmaba daftari kimerekebishwa?

Swali lako inaonekana ni zuri, ila umeliuliza chini ya kiwango. Liweke vizuri kwanza kisha tuendelee.
 
Huyo msaliti na kibaraka atapigiwa kura na Amstedam
 
Swali lako inaonekana ni zuri, ila umeliuliza chini ya kiwango. Liweke vizuri kwanza kisha tuendelee.
Basi subiri Lisu apate zake 20% uingie road kusherehekea.
 
Why mnachezea daftari la kura,mnawatumia police kuomba msaada
Wamechezeaje?

Tukiwaonya humu kwamba baada ya uchaguzi kilio chenu kitakuwa tume. Na tayari mmeanza na habari za daftari, kwani hilo daftari mchakato wake umeanza jana? Kwa nini hamkuhoji toka kitambo?

Tuliwambia piganieni tume huru tangu 2015 mkaishia kujadili kingereza cha Magu, basi subiri mvune mlichopanda.
 
Lisu sio Lowasa tume sio kikwazo
 
Basi subiri Lisu apate zake 20% uingie road kusherehekea.

Kwa hizi kura ambapo daftari la wapiga kura limechezewa na tume, kisha tume wanasema watu hawajahakiki taarifa zao, hiku kukiwa na kura na vituo fake, hata hiyo 10% hafiki, achia mbali hiyo 20%. Hakuna ccm ya kuweza kushinda tena kwa 50%+ kihalali nchi hii. Hiyo hata mdhikiri uchi hapo baharini haitakaa itokee.
 
In your dreams
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…